Viongozi wetu hizi sura za kukata tamaa zitawavunja mioyo wananchi

Naona nyuso zimejawa na fadhaa.
Siku zote huwa tunasema kuwa "Cheo ni dhamana".
Kwenye siasa ruka ruka, ongea unavyoweza kakini weka "Akiba ya maneno" huenda ikakufaa mbele ya safari
 
Kundi la hovyo kabisa kuwahi kukalia mamlaka.

Kuna kundi la wastaafu wasomi ambao Magufuli hakulitumia vilivyo kwani hakuthamini experience kama ni nyenzo muhimu katika kuendesha nchi; Samia alitumie kundi hili kuleta maendeleo hasa katika sehemu za ushauri kwenye bodi za wakurugenzi wa mashirika!!

Mfano mzuri nihapo ATCL. Magufuli aliwajaza watu wake aliotoka nao TANROADS kama asante ya kumsaidia kupata URAIS ili hali shirika la ndege linahitaji weledi wa hali ya juu kuliendesha. Matokeo yake ndege zikanunuliwa bila mpango na shirika likapata hasara ambayo ingeweza kuepukika hasa wakati huu wa pandemic. Kuna wataalam waTanzania wa mambo ya usafirishaji [ Transport Economists] ambao wanatumiwa na taasisi za nchi za nje ambao tungeweza kuwatumia.

Rais ashauriwe kama ikiwezekana kusimamisha ununuzi wa hizo ndege nyingine ambazo marehemu alikuwa anajigamba kuwa ameziagiza kwani kwa hali ya sasa ya shirika hakuna justification ya kuongeza capacity.
 
Kuna kundi la wastaafu wasomi ambao Magufuli hakulitumia vilivyo kwani hakuthamini experience kama ni nyenzo muhimu katika kuendesha nchi; Samia alitumie kundi hili kuleta maendeleo hasa katika sehemu za ushauri kwenye bodi za wakurugenzi wa mashirika!!

Mfano mzuri nihapo ATCL. Magufuli aliwajaza watu wake aliotoka nao TANROADS kama asante ya kumsaidia kupata URAIS ili hali shirika la ndege linahitaji weledi wa hali ya juu kuliendesha. Matokeo yake ndege zikanunuliwa bila mpango na shirika likapata hasara ambayo ingeweza kuepukika hasa wakati huu wa pandemic. Kuna wataalam wa mambo ya usafirishaji [ Transport Economists] ambao wanatumiwa na taasisi za nchi za nje ambao tungeweza kuwatumia.

Rais ashauriwe kama ikiwezekana kusimamisha ununuzi wa hizo ndege nyingine ambazo marehemu alikuwa anajigamba kuwa ameziagiza kwani kwa hali ya sasa ya shirika hakuna justification ya kuongeza capacity.
Yahitaji mwenye maono si washangiliaji kama hao waliopigwa butwaa!
 
Hilo kundi linawaza ni kwa namna gani litwae kiti cha mama ili maslahi yao yaendelee kulindwa. Vema mama akaongezewa ulinzi maana kuna watu ndani ya chama wamefula balaaa kuona anaapishwa kuwa Rais na amiri jeshi mkuu.
 
Back
Top Bottom