Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

the horse

Itamsaidia nini ? Atapata nin baada ya hapo ? Kwa nini wamengojea muda wote huu ? Tuwaamini kwamba wana ama walikuwa na nia ya dhati ?
 
Last edited by a moderator:
Ndo kwanza nalisikia hilo jina, inamaana mpango wa nunua nunua bado unaendelea ingawa haufanikiwi?
 
CCM ni ile ile , haiwezi kubalika , haitoi huduma kazi kwenu mmeipenda wenyewe , mtakufa kwa kukosa madawa hosp mmeipenda wenyewe , watu ni wale wale . Thanks so much

Huyo .. Juliana Shonza njaa inasumbua asipokuwa makini itampeleka pabaya zaidi
 
Last edited by a moderator:
Ni wazi kuwa Ccm mnatapatapa na ndio maana kila siku mnatunga habari na kuiba mikakati ya UKAWA baada ya kuona mgombea wa UKAWA Rais mtarajiwa Edward Lowassa anawapa headache, ni wazi kuwa ccm hauna nguvu na tunashuhudia limbwi la kupika matokea ya utafiti ilimradi kuaminisha wananchi kuwa mnakubalika kumbe si kweli.
#Mabadiliko2015
 
Press conference inayorushwa na STARTV ni lazima itakuwa inafadhiliwa na CCM. Muhimu siamini kuwa huo pia utakuwa ni mkakati wenye matunda kwa mfadhili. Hata hivyo huyo mama popularity yake ni zero.
 
Sababu za kitoto hizo ... Sababu kuu ni kumegewa MSHIKO wa ESCROW ... Watanzania wa leo hawadanganyiki kirahisi ...

the horse
 
Last edited by a moderator:
kweli ccm wanahela za mchezo wananunua hata watu wasio hata na chembe ya ushawishi utasikia rei mala nani sijui binti mmoja mwigizaji, mala huyu tena sijui nani hajawai hata kufahamikai mahala popote hapa tanzania
 
Back
Top Bottom