Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

the horse

Hii taarifa inaweza kuwa ni kweli ama uongo...Maana Makamu Mwenyekiti wa NCCR ninayemjua anaitwa LETICIA MUSSORE..sasa huyo mwingine sijui amechaguliwa lini,ama labda ni mstaafu.
 
Last edited by a moderator:
Alafu mbona tushaamua tumpa lowassa,hio pesa ya airtime akatunze familia yake
 
Press conference yake ya kwanza toka awe mwanachama na kisha makamu mwenyekiti ni ya kujiuzulu tena inarushwa moja kwa moja? duh Tanzania haiishi vituko!


Hili jina mimi binafsi ndio kwanza leo nalisikia. Hivyo naye ajiandae uondoka peke yake, hakuna wa kumfuata kama ilivyokuwa kwa vibaraka Lipumba na Slaa walioondoka wao na wake zao tu. UKAWA bado imara na inatesa.

Tena TV inayorusha ndiyo ile kichefuchefu ya STARTV.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Watanzania washaamua pa kupeleka kura zao october 25..huu ni mwaka wa mabadiliko, wao waondoke tu maana wataumia ni familia zao, sisi ni ukawa tu maana hakuna namna...!! Anaitwa nani vile huyo mama, maana hata kwenye siasa za nchi hii nadhani hili jina ni geni kwangu
 
Sijawahi hata kumsikia.

Naona maccm baada ya kuzidiwa wanadil na wachezaji wa mchangani.
 
Hivi nyie akili zenu zipoje..? Kila anayehama Chama amenunuliwa, haya niambie LOWASSA amenunuliwa shilingi ngapi ili aje kuwa mgombea wenu..?

Hivi nyie shuleni mnaenda kufanya nini, maana akili zenu ni pumba tupu..
Hivi unaandika huku una bl. .. nini!Wewe mchumia tumbo njaa kali una nini?
 
Watanzania washaamua pa kupeleka kura zao october 25..huu ni mwaka wa mabadiliko, wao waondoke tu maana wataumia ni familia zao, sisi ni ukawa tu maana hakuna namna...!! Anaitwa nani vile huyo mama, maana hata kwenye siasa za nchi hii nadhani hili jina ni geni kwangu

Kwani ndugu zangu mmeshajua anahamia wapi..,mbona mnaheka heka kama maji ya mafuriko..?
 
Back
Top Bottom