DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,961
Vunja nyororo za utumwa, toroka uje
Kwani ndugu zangu mmeshajua anahamia wapi..,mbona mnaheka heka kama maji ya mafuriko..?
Ndio kwanza namsikia leo
CCM ni ile ile , haiwezi kubalika , haitoi huduma kazi kwenu mmeipenda wenyewe , mtakufa kwa kukosa madawa hosp mmeipenda wenyewe , watu ni wale wale . Thanks so much
Maskini MUSSA ALLAN. Umekuwa mtumwa wa Mafisadi
Mbatia yupo bize anamnadi mgombea wa ukawa, anasahau nyumba yake ikiungua.