Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

Waliochukua Mshiko wa CCM wakalia kuti kavu ndani ya NCCR .... wehu tu ndo wenye uwezo wa kubadili hadi jina lake mbele ya wazazi wake ...

msiwatukane viongozi wa juu wa Nccr kwani wao wajinga kwa hali wanayoiona kama mkutano si aitiashe tu kuna tatizo.
na mbatia haitishi ng'ooo ameshavuta mshiko imetoka
 
Katibu Mkuu Taifa wa Nccr amemtaka Mwenyewe kiti wa Taifa james mbatia aitishe Mkutano Mkuu ili umjadili Kuhusu mwelekeo wa chama chao. Mbatia anatuhumiwa kutokihusisha chama kwenye maamuzi Yake ya ukawa maamuzi ambayo yalitakiwa yafanywe na Mkutano mkuu wa chama. Tuhuma nyingine anafanya Kazi za Chadema na za lowassa badaya ya Kazi za Nccr. Pia, anatuhumiwa kuuza chama ili ajinifaishe yeye Mwenyewe kwa kupata uwaziri kama lowassa akishinda.

Hiki ni kipimo sahihi cha demokrasia katika vyama vya upinzani. Matusi na kejeli za team Lowassa havisaidii. Mbatia anaendesha NCCR Mageuzi kama private business. Accountability hakuna, afadhali hata CHADEMA wako accountable kanisani.
 
Hivi katibu mkuu si ndio mtendaji mkuu wa chama? shughuli za chama kama mikutano zinaitishwa na nani, mwenyekiti au katibu mkuu? Nisaidieni hapa
 
Hiki ni kipimo sahihi cha demokrasia katika vyama vya upinzani. Matusi na kejeli za team Lowassa havisaidii. Mbatia anaendesha NCCR Mageuzi kama private business. Accountability hakuna, afadhali hata CHADEMA wako accountable kanisani.

Be specific, makanisa yapo mengi. sema wako accountable KKKT na kanisa la gwajima
 
Najua hata kipindi CCM inaundwa hapakuwepo na usawa wa 50% kwa 50% kwa vyama vyote vishiriki (TANU na ASP).
UKAWA songa mbele....
Ndugu ningependa urudi kwenye historia ya TANU na ASP hivi vilikuwa vyama vilivyo kubali kuvunja vyama vyao na kuunda chama kimoja na kwa maana hiyo hata hakukuwa na haja ya kugombea majimbo kwa vyama hivi viwili ni tofauti na ukawa amabao wameunda ukawa kwa maslahi ya wao kwena ikulu na wala si vingenevyo jamani huwa tunasoma ama?
 
Be specific, makanisa yapo mengi. sema wako accountable KKKT na kanisa la gwajima

Ni kweli mkuu makanisa yako mengi tu, lakini KANISA linaloendesha jitihada za WOKOVU kwa mafisadi papa ndani ya CHADEMA ni moja tu. Mpaka hapo nimekuwa wazi mno.
 
Back
Top Bottom