Viongozi wabainika kuvuta bangi

Viongozi wabainika kuvuta bangi

hata baba Riz 1 anatumia sana hii kitu

Wakubwa wenye mihela ya kifisadi wanatumia bange yao inaitwa hashish ni bange iliyoenda shule kweli unapiga pafu moja mbili unazima sishahngai viongozi wetu kuwa watumiaji wakubwa
 
Wakubwa wenye mihela ya kifisadi wanatumia bange yao inaitwa hashish ni bange iliyoenda shule kweli unapiga pafu moja mbili unazima sishahngai viongozi wetu kuwa watumiaji wakubwa
Hashishi, chalas au green ingawa hii ni kali ila sio nzuri ka ganja coz ina chemicals na haina harufu ka mmea wenyewe
 
3/4 ya darasa nlilosoma o-level wakati ule, walikuwa wanapiga nyasi. Na physics na maths walikuwa wanapasuaga mbaya. Nlikuwa nawashangaaga sana.
 
Naam, mimi nadhani kwamba kufanya wawili kati yetu kwa sababu mimi moshi baadhi ya kila asubuhi baada ya kifungua kinywa inasaidia wazi kichwa.

Kwa nini tumbaku kuwa halali lakini si bangi? Slaa kwamba mahitaji ya kuweka katika orodha yake ya mambo ya kujadili kwa ajili ya 2015 tunaweza kukuza uchumi kwa kasi na kufanya tu hii! Anayejali nini mnafiki umoja taifa anadhani tu kuangalia Amsterdam kamili ya bangi nzuri Malawi huko ...

mwanangu umetumia cha wapi kabla hujatuma hii post? Manake mistari yako nimeikubali...
 
bannge bange ndo iliyonifanya me nidate, mkuu bange sio kitu kinzuri kwenye jamii tunatakiwa tuipige vita kwa nguvu zote mkuu

mkuu tukilingania madhara, bange na ngono najituma kuamini ngono ni hatari sana kuliko mibange!
 
bangi inafanya mtu kula chakula cha watu wanne peke yake yaani inaleta njaa.ni noma.mia
 
Back
Top Bottom