Viongozi wa dini mkanyeni Makonda!!

Viongozi wa dini mkanyeni Makonda!!

subiri Gwajima atoke kutoka huko aliko atamjibu tu...
 
Mkuu, umelala na kuamka. Na kifungua kinywa chako ni Makonda?
Chakula chako cha machana na jioni ni Makonda?

Tafadhali NENDA KAFANYE KAZI iliuendelee na ujenzi wa taifa.
HOJA ama MADA hiyo ilishajibiwa zamani.
Hivyo ni STALE news/KIPOLO cha habari ambacho si kitu cha muhimu KUKIRUDIA RUDIA.
Taifa lina mambo muhimu zaidi kuliko hizo fitina ndogo ndogo.
By the way,
Je umefikia wapi na huo MRADI wako uliouanzisha????
Huna akili, Mungu hadhihakiwi soma vizuri uelewe
 
Kunukuliwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akisema kuwa anapokuwa amesimama yeye basi anakuwa amesimama Mungu, kumeleta mfadhaiko miongoni mwa watu wenye akili timamu wanaojua nini inamaanishwa inaposemwa neno "Mungu". Lakini kauli hiyo pia imezifedhehesha dini zote zilizoko duniani.

Kila watu wakienda wanakoabudu wanaambiwa wanamuabudu "Mungu", halafu anasimama mtu na kusema akisimama yeye anakuwa amesimama Mungu, hili ni dharau kwa waabudu Mungu. Makonda anataka kusema yeye ni Mungu ama ni Mwakilishi wa Mungu?

Kama waislamu wanasema "hakuna apaswaye kuabudiwa ila ni Mungu pekee..." nao ndugu zao Wakristo wanasema "Mungu ni mwenye wivu.." inakuwaje wanakaa kimya mtu mwingine anapojifananisha na Mungu? Au viongozi wa dini nao wanaamini anaposimama Makonda anakuwa amesimama Mungu?

Ukimya wa viongozi wa dini juu ya kauli ya Makonda kuhusu Mungu unapalilia ile dhana kwamba viongozi wa dini Tanzania wana Shirika na viongozi wa Serikali wanaotokana na CCM. Maana kuna wakati watu waliuliza inakuwaje viongozi wa vyama vya upinzani huwa hawaalikwi kwenye yale matamasha ya "amani"? Kumbe inawezekana waandaji labda huwa wanaogopa kumuudhi Mungu kwa kuwaalika Mashetani.

Hata kama aliahidi kusaidia kujenga Makao Makuu ya BAKWATA ama alimtembelea Kadinali Pengo Ofisini kwake, ni lazima Makonda aonywe na akemewe hadharani kwa tendo lake la kujilinganisha na Mungu. Viongozi wa dini huo ukereketwa wenu wa CCM unawaondolea sifa ya kuwa viongozi wa dini kwani sifa mojawapo ya kuwa kiongozi wa dini ni kuzuia Mungu KUDHIHAKIWA!!
wewe jamaa umeishiwa hoja. Umebaki kufuatilia watu binafsi na maisha yao. Wewe endelea na manifesto yenu ya chagggae. Mliyoiita change. Ilikufa na kuwa ndembendembe. Nani aisyewajua nyie mawakala wa mafisadi.
Kila anayejaribu kuziba mianya ya rushwa mnajaribu kumshambulia na manifesto yenu hiyo ya wizi. Badala ya kuwakanya viongozi wako wanothubutu kutoa uhai wa mtu ili kujinufaisha kisiasa. Yaani Ben saa8 tunataka arudi akiwa mzima msituletee siasa zenu za maji taka.
 
Weka "context" nzima maneno ya para moja kabla na para moja baada ya hilo neno ili tuuone "ukweli" wako.

Ukishindwa kufanya hivyo basi unakuwa ni ufataani tu.

Fata ushauri niliokupa juu huko.
Faiza mh. POMBE ankuita
 
Ndugu yangu hebu achana na kupinga kila kitu kwa kuwa u mpinzani tu.

Upinzani wa kweli ni kufanya mbadala wa hayo unayoona kuwa Makonda kakosea.

Ulitaka asikemee wala asifatilie watu walioshirikiana kwa yule mrithi wa halali kudhulumiwa? Au hujasikiliza vizuri kilichokuwa kinaendelea mpaka akasema hayo?

Ningefurahi zaidi ningeona upinzani unatumia wanasheria wake "wasomi" japo kuwapeleka mahakamani wale waliodhulumu na kuhakikisha haki ya mrithi inapatikana na wale wote walioshiriki kwenye hiyo dhuluma wanachukuliwa hatua badala ya kukaa hapa na kutafuta Makonda kasema nini uanze kumpinga.

Huo ni upunguani wa hali ya juu.

Action speaks louder than words.
Mambo ya Mungu mwachieni Mungu mwenyewe, Mungu kwa wakristo hapiganiwi wala hatetewi..... yeye ndio hutupigania sisi ndio maana alimtoa Mwanae atufie kwa ajili yetu.....
 
Mimi naona wengi wa mnaowaita kuwa ni viongozi wa dini ni wafanyakazi tu wa dini. Siku hizi kumpata kiongozi wa dini hasa ni nadra sana
 
Kunukuliwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akisema kuwa anapokuwa amesimama yeye basi anakuwa amesimama Mungu, kumeleta mfadhaiko miongoni mwa watu wenye akili timamu wanaojua nini inamaanishwa inaposemwa neno "Mungu". Lakini kauli hiyo pia imezifedhehesha dini zote zilizoko duniani.

Kila watu wakienda wanakoabudu wanaambiwa wanamuabudu "Mungu", halafu anasimama mtu na kusema akisimama yeye anakuwa amesimama Mungu, hili ni dharau kwa waabudu Mungu. Makonda anataka kusema yeye ni Mungu ama ni Mwakilishi wa Mungu?

Kama waislamu wanasema "hakuna apaswaye kuabudiwa ila ni Mungu pekee..." nao ndugu zao Wakristo wanasema "Mungu ni mwenye wivu.." inakuwaje wanakaa kimya mtu mwingine anapojifananisha na Mungu? Au viongozi wa dini nao wanaamini anaposimama Makonda anakuwa amesimama Mungu?

Ukimya wa viongozi wa dini juu ya kauli ya Makonda kuhusu Mungu unapalilia ile dhana kwamba viongozi wa dini Tanzania wana Shirika na viongozi wa Serikali wanaotokana na CCM. Maana kuna wakati watu waliuliza inakuwaje viongozi wa vyama vya upinzani huwa hawaalikwi kwenye yale matamasha ya "amani"? Kumbe inawezekana waandaji labda huwa wanaogopa kumuudhi Mungu kwa kuwaalika Mashetani.

Hata kama aliahidi kusaidia kujenga Makao Makuu ya BAKWATA ama alimtembelea Kadinali Pengo Ofisini kwake, ni lazima Makonda aonywe na akemewe hadharani kwa tendo lake la kujilinganisha na Mungu. Viongozi wa dini huo ukereketwa wenu wa CCM unawaondolea sifa ya kuwa viongozi wa dini kwani sifa mojawapo ya kuwa kiongozi wa dini ni kuzuia Mungu KUDHIHAKIWA!!
Wao wanajua madhara yatakayompata maana Mungu hataniwi na hapa tunafanya makosa tunapolitaja jina lake kwa mambo kama haya...
 
Mambo ya Mungu mwachieni Mungu mwenyewe, Mungu kwa wakristo hapiganiwi wala hatetewi..... yeye ndio hutupigania sisi ndio maana alimtoa Mwanae atufie kwa ajili yetu.....

hakuna aliyekufa kwa ajili yako, kila mmoja ataubeba msalaba wake - kumbuka hilo.

Kuamini hilo la kubebewa dhambi ndiyo maana mnalawitiana mpaka na mapadri na wachungaji makanisani. Ilhali biblia imeandika hivi:

1 WAKORINTHO 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Vipi hao aliwasahu kuwabebea dhambi zao? Maana "hawataurithi ufalme wa Mungu".
 
Amini nawaambieni kuwa viongozi wote wa dini wapo chini ya Makonda kwa maana asimamapo Makonda amesimama Mungu na Makonda ni Mungu.
 
Drama zake azifanyie uko kwenye siasa. Yeye anataka aonekane kama Mungu kwa lipi hasa alilo nalo la kufananishwa na Mungu. Ndiyo maana watu kama hawa FaizaFoxy huwa anawauliza "uko shuleni mlikwenda kusomea ujinga?"

Huyu FaizaFoxy si ndio amepigwa drama ya kujengewa makao makuu ya bakwata
 
Hata Mafarisayo waliojifanya wao ni Miungu..... walikuja wako wapi?Walileweshwa na madaraka.So ni tabia ya hawa hasa wa nchi za dunia ya tatu.
 
Kunukuliwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akisema kuwa anapokuwa amesimama yeye basi anakuwa amesimama Mungu, kumeleta mfadhaiko miongoni mwa watu wenye akili timamu wanaojua nini inamaanishwa inaposemwa neno "Mungu". Lakini kauli hiyo pia imezifedhehesha dini zote zilizoko duniani.

Kila watu wakienda wanakoabudu wanaambiwa wanamuabudu "Mungu", halafu anasimama mtu na kusema akisimama yeye anakuwa amesimama Mungu, hili ni dharau kwa waabudu Mungu. Makonda anataka kusema yeye ni Mungu ama ni Mwakilishi wa Mungu?

Kama waislamu wanasema "hakuna apaswaye kuabudiwa ila ni Mungu pekee..." nao ndugu zao Wakristo wanasema "Mungu ni mwenye wivu.." inakuwaje wanakaa kimya mtu mwingine anapojifananisha na Mungu? Au viongozi wa dini nao wanaamini anaposimama Makonda anakuwa amesimama Mungu?

Ukimya wa viongozi wa dini juu ya kauli ya Makonda kuhusu Mungu unapalilia ile dhana kwamba viongozi wa dini Tanzania wana Shirika na viongozi wa Serikali wanaotokana na CCM. Maana kuna wakati watu waliuliza inakuwaje viongozi wa vyama vya upinzani huwa hawaalikwi kwenye yale matamasha ya "amani"? Kumbe inawezekana waandaji labda huwa wanaogopa kumuudhi Mungu kwa kuwaalika Mashetani.

Hata kama aliahidi kusaidia kujenga Makao Makuu ya BAKWATA ama alimtembelea Kadinali Pengo Ofisini kwake, ni lazima Makonda aonywe na akemewe hadharani kwa tendo lake la kujilinganisha na Mungu. Viongozi wa dini huo ukereketwa wenu wa CCM unawaondolea sifa ya kuwa viongozi wa dini kwani sifa mojawapo ya kuwa kiongozi wa dini ni kuzuia Mungu KUDHIHAKIWA!!
Mwenyezi Mungu hahitaji kutetewa na binadamu. Hicho ulichokiandika kutaka akina Sheikh Zuberi au Muadhama Pengo wasimame kumtetea Mwenyezi eti kadhihakiwa ni upungufu wa uelewa juu ya ukuu wa mwenyezi Mungu.

Ngoja nikumbushe hadithi ya Gideoni kwenye biblia. Kwa ufupi hiyo stori iko hivi; baada ya Gideoni kuitwa na Mungu alitakiwa kumtolea Mungu sadaka. Lakini kabla ya kumtolea Mwenyezi Mungu sadaka ilimbidi avunje madhabahu ya miungu iliyokuwa inaabudiwa na jamii yake. Gideoni alifanya hivyo usiku, akavunja hiyo madhabahu ya Baal na Asherah na kumtolea Mwenyezi Mungu sadaka kwenye madhabahu mpya aliyoijenga kando ya ile aliyoivunja. Asubuhi yake watu wakagutuka na kuanza kumtafuta aliyevunja madhabahu ya baali. Ndipo wakamtambua kuwa ni Gideoni. Wakamwendea baba yake wakiwa na ghadhabu na kutaka kumuua Gidenioni. Mzee Joash babake Gideoni aliwatuliza kwa maneno kuntu akisema; "kama kweli baali ni mungu na kachukizwa na kitendo cha Gideoni kuivunjia madhabahu yake, basi huyo baali mwenyewe atamwadhibu Gideoni.

Hayo maneno ya Mzee Joash yanakufaa pia mtoa mada, uki-rephrase hiyo sentensi ya mzee Joash kuendana na hoja yako, utagundua kuwa Mwenyezi hahitaji kutetewa na binadamu unless amemtuma Mwenyewe. Ninachomaanisha hapa ni kuwa Mwenyezi Mungu haitaji hao akina Muadhama Pengo au Sheikh Zuberi kumtetea dhidi ya dhihaka. Kama akijisikia kuwa kadhihakiwa Yeye anazo mbinu za kutosha kumrudisha mhusika kwenye mstari.
 
Makonda na Lusekelo, yupi kati yao anaemzungumzia Mungu wa kweli? Hebu tusaidie kutupa direction?
 
Sasa mleta mada naona unataka kushindana n.a. mungu kabisa RC Makonda aliongea ukweli au kwakua Nabii hakubariki kwao
 
kama Mungu mwenye wivu hajamuadhibu makonda unataka wanadamu tufanyeje?
 
Wanachukua sadaka zetu, wanatuhimiza tutoe zaka na tuwe watu wema kwa kuwa Mungu anataka tuwe hivyo. Anakuja mtu anasema akisimama yeye anakuwa anasimama Mungu na viongozi wetu wote wa dini wako kimya. Kuna nini?

Ngoja kwanza huyo Mungu unayemtetea amalize kumuotesha Lema gerezani ndio atakuja kujitetea maana inanekana anaibiwa umungu wake na Makonda.
 
Unanitukana sina akili. Na bado unaliita jina la Mungu.Basi ni mungu mwingine unayemuabudu. Maana Mungu aliye hai HARUHUSU WATUKANAJI kama wewe!
Hata hivyo NINAKUSHUKURU sana kwa kuniita MJINGA.
Mungu akubariki!
 
Back
Top Bottom