Labda ni ulisema tu hawa wawili wanasali pamoja?Kama wanasali pamoja mtu wa kukumbushwa ni huyo kiongozi wao. Nina uhakika wa protestant na wapententekost wangeshakemea jambo jambo hili kama wangekuwa ni waumini wao kwahiyo kwa u kristo inabaki warumi tu la sivyo wa Hindu au waislamu. Sasa je wanasali wapi?Baba yake naye iko shida. Unaweza je kumruhusu mwanao ajifananishe na Mungu na wewe unachekelea bila kumbalasa? Iko shida hapo mzeeeUmenikumbusha ile hadithi ya nani mwenye uwezo wa kumfunga paka Kengele??
Viongozi wa dini awamu hii wote wanampigia makofi Mukulu na wasaidizi wake na kuimba nyimbo za mapambio, hawataki kumuudhi Mukulu wala wasaidizi wake maana "hawajaribiwi"