YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Kiongozi wa dini ni tofauti Na mwanasiasa kama mbunge diwani nk .Diwani Na mbunge kazii yao ya kila siku ni kuwasikiliza watu wakati kazi ya kiongozi wa dini ni kumsikiliza Mungu anasemaje ,Ukiona viongozi wa dini kutwa wako wanasikiliza wanasiasa ,watu kama akina mange kimambi nk wanasemaje na kuyakomalia hayo wanayoyasikia ujue nchi inakuwa haina viongozi wa dini tena.Viongozi wa dini rudini kwenye majengo yenu ya ibada mkamsikilize Mungu acheni kuzurura mitandaoni,magazetini,nk mkisikiliza watu wanasemaje hayo waachieni wanasiasa