Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .
Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita kwenye masuala ya Kiroho na kuliombea Taifa letu pasipo kujihusisha na Siasa na mapokezi ya Kisiasa.
Tunaomba Wananchi na waumini wote wapuuzie uhamasishaji huo unaolenga kutumia jina la Viongozi wa Dini kwa matakwa binafsi ya Kisiasa. Mwenyezi Mungu aibariki nchi yetu na kutujalia Neema zake.
Imetolewa na Umoja wa Viongozi wa Dini Mkoa wa Kilimanjaro.
18/03/2022.
Naomba tujikite kwenye namba sita kwa muktadha wa uzi huu

Utajinyea weweSisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .
Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita kwenye masuala ya Kiroho na kuliombea Taifa letu pasipo kujihusisha na Siasa na mapokezi ya Kisiasa.
Tunaomba Wananchi na waumini wote wapuuzie uhamasishaji huo unaolenga kutumia jina la Viongozi wa Dini kwa matakwa binafsi ya Kisiasa. Mwenyezi Mungu aibariki nchi yetu na kutujalia Neema zake.
Imetolewa na Umoja wa Viongozi wa Dini Mkoa wa Kilimanjaro.
18/03/2022.
Anayesambaza huo ujumbe hakutaja jina lake wa majina ya hao viongozi wa dini. Sasa Kuna haja gani kwa kiongozi wa dini kutaja jina lake?Umoja wa viongozi wa dini kisha hakuna jina la mtoa taarifa?! Ni hivi hakuhitajiki umoja wa viongozi wa dini, bali kiongozi wa dini anaweza kwenda kwa utashi wake.
Yaani nyuzi nyingi jamaa wanahangaika mara mapokezi yamedoda,mara sijui Saasisha kafanya nini,mara viongozi wa dini wakanusha,hawajui wao ndio wanazidi kulipaisha tukioJamaa wanawashwawashwa balaa!Ya nini kupiga mayowe?Si msubiri muda utaongea nini?Kwani mmeambiwa anakuja kutwaa ardhi yenu?
Wamegeuka kuwa viburudisho wa JF.Yaani nyuzi nyingi jamaa wanahangaika mara mapokezi yamedoda,mara sijui Saasisha kafanya nini,mara viongozi wa dini wakanusha,hawajui wao ndio wanazidi kulipaisha tukio
Walipompa kesi ya mchongo ndipo walimpa umaarufu zaidi sasa wanahangaika wao.
Kwenye tamasha na mikutano ya CCM huwa mpo, sio ya kisiasa? Mnaidhalilisha imani ya dini.Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .
Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita kwenye masuala ya Kiroho na kuliombea Taifa letu pasipo kujihusisha na Siasa na mapokezi ya Kisiasa.
Tunaomba Wananchi na waumini wote wapuuzie uhamasishaji huo unaolenga kutumia jina la Viongozi wa Dini kwa matakwa binafsi ya Kisiasa. Mwenyezi Mungu aibariki nchi yetu na kutujalia Neema zake.
Imetolewa na Umoja wa Viongozi wa Dini Mkoa wa Kilimanjaro.
18/03/2022.
Umoja ya dini ya WASIOJULIKANA na WAFUASI WA SABAYA kwisha.Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .
Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita kwenye masuala ya Kiroho na kuliombea Taifa letu pasipo kujihusisha na Siasa na mapokezi ya Kisiasa.
Tunaomba Wananchi na waumini wote wapuuzie uhamasishaji huo unaolenga kutumia jina la Viongozi wa Dini kwa matakwa binafsi ya Kisiasa. Mwenyezi Mungu aibariki nchi yetu na kutujalia Neema zake.
Imetolewa na Umoja wa Viongozi wa Dini Mkoa wa Kilimanjaro.
18/03/2022.
Pole sanaSisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .