Hydrobenga
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 1,127
- 212
kupiga ukunga ndio kufanya nini wakuu??
Hivi CUF mna matatizo gani ? CHADEMA walishasema Huko kaskazini ni nchi yao ,nyinyi mnaenda kuwasumbulia nini ?
Kwanza mlikuwa na viza ? sawa sawa mlivyo dundwa, mnaingilia nchi ya kaskazini bila kufata taratibu...next time na nyinyi
wakikatiza anga zenu watieni adabu...mshasahau JINO KWA JINO ?
Nipo hapa sokoni Kilombero na wamachinga wanajigawia kwa utaratibu mzuri sana kuliko ule uliofanyika na Mkuu wa wilaya kule nmc.
Gari la CUF la matangazo likawa linakuja kuingia ili litangaze mkutano, wanawake wamachinga wamepiga ukunga CCM B wanafiki wanakuja wamachinga wote wakawapigia kelele na gari la CUF likaondoka na kuzima muziki mara moja.
kupiga ukunga ndio kufanya nini wakuu??
"Imesemekana kuwa waliowapopoa CUF mawe ni wafuasi wa CDM" Kwani CCM hawajui kurusha mawe? ama kweli CDM inawatia kiwewe "Mtu na Mkewe" sa' nani atalinda nyumba kama bwana na bibi wote waoga wa kupiga mayowe?
Hivi CUF mna matatizo gani ? CHADEMA walishasema Huko kaskazini ni nchi yao ,nyinyi mnaenda kuwasumbulia nini ?
Kwanza mlikuwa na viza ? sawa sawa mlivyo dundwa, mnaingilia nchi ya kaskazini bila kufata taratibu...next time na nyinyi
wakikatiza anga zenu watieni adabu...mshasahau JINO KWA JINO ?
Kupiga ukunga ni KUPIGA YOWE LINALOASHIRIA HATARI....AU JAMBO LA KUTISHA ....MATHALANI.....Mtu akiwa anaibiwa au amevamiwa anahitaji msaada!, Au Mtu amefiwa !!! KUPIGA UKUNGA----Hutumiwa sana na WAMERU,WAPARE,WAARUSHA NA WACHAGA
Ukunga ni YOWE ambayo inatumika kujulisha jamii iliyopo uwepo wa hatari, msiba au kitu kingine ambacho si cha kawaida katika jamii husikaNi kupiga kilio cha kuashiria msiba
Acha ushabiki wa kiccm katika mambo ya maana, naona unatumia nguvu nyingi kuchonganisha zaidi badala ya kukemea vitendo hivi vya kiuni visivyo na tija kwa demokrasia na maendeleo ya taifa letu.
Kaskazini oyeeeee.....Mkuu wa kaya kambiwa aende kwa pasport Huko north....halafu hawa CUF wanatoka zao pemba hadi North bila pasport!!!!!!!!!!!!!!!wakatangaze pemba sio arusha...