Viongozi wa CUF na gari lao wafukuzwa na wamachinga hapa soko la Kilombero, Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa CUF na gari lao wafukuzwa na wamachinga hapa soko la Kilombero, Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mrengo Hans, Sep 27, 2012.

 1. M

  Mrengo Hans Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo hapa sokoni Kilombero na wamachinga wanajigawia kwa utaratibu mzuri sana kuliko ule uliofanyika na Mkuu wa wilaya kule nmc.

  Gari la CUF la matangazo likawa linakuja kuingia ili litangaze mkutano, wanawake wamachinga wamepiga ukunga CCM B wanafiki wanakuja wamachinga wote wakawapigia kelele na gari la CUF likaondoka na kuzima muziki mara moja.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  CUF chama Kilichokufa , hakiko Mioyoni mwa watu makini na timamu
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 671
  Trophy Points: 280
  "cuf ngangari"
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Limenipita hapa chini ya mti kama dakika 20 watu wakawa wanapiga ukunga.....CUF kazi mnayo.
   
 5. G

  Gheto's King Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hahahahaha ukisiki mwaka wa vioja ni huu
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  kupiga ukunga ndio kufanya nini wakuu??
   
 7. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,770
  Likes Received: 6,096
  Trophy Points: 280
  Ndio walikuwa wanatangaza ule mkutano wao wa tar 29 utakaohutubiwa na Sultan? Ha ha ha ha ha! Eti wanaenda kuibomoa ngome ya CDM Arusha kana kwamba Chadema ndio chama tawala! Fukuzia mbali hao Vibaraka 4 Change (V4C) na unafiki wao.
   
 8. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Chezea r. Chuga veve taona moto.
   
 9. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,843
  Likes Received: 1,239
  Trophy Points: 280
  yaani cuf badala ya kuungana na wapambanaji kumpinga adui,wao wanaungana na adui kumpinga mpambanaji mwenzao.kazi ipo
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CUF si ngangari tena bali ng'aring'ari yaani urojo tu! Ukishaolewa kuna dili tena?
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni kupiga kilio cha kuashiria msiba
   
 12. b

  bagwell Senior Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakitokufa na ndio tunazidi kuandaa mikakati
   
 13. b

  bagwell Senior Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena ipo kweli kazi mna Chadema ndio walioanza mna mwaka 2000 Chadema waliungana na CCM ili kumpija vita mgombea Ubunge wa CUF ili asishinde je nani kati yao ana ushirikiano?
   
 14. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,006
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  Kama ccm unrestumae juicyruga CDM imekula kwao. Hapa ni A town nki eat wajanja
   
 15. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni lugha gani hiyo, na linamaanisha nini?
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Jamani! maskini cuf imekufa gafla kama nzi.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Ukunga ni sauti inayoashiria msiba.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  lugha ya Kiswahili mkuu
   
 19. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hii imetokea maeneo ya kilombero sokoni ambapo wamerushiwa mawe na kujeruhiwa vibaya ambapo majeruhi wamewahishwa hospitali,huku julius mtatiro akitupia lawama chadema kwa kusema wafuasi waliandaliwa ili kuwafanyia vurugu na polisi kwa kutochukua hatua japo walikuwa eneo husika.
  Source؛julius mtatiro facebook
   
 20. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bado hatuna experience na siasa kwetu ila fujo za kipumbavu ndio kama siasa zetu.Kama sio Polisi basi wananchi ndio wataanza fujo.
   
Loading...