Viongozi wa chadema watavurugwa na dola yetu mpaka basi,tunatizama kama vile ni maigizo. Watanzania ni waoga,wanafiki, waongo na mashujaa mitandaoni.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,232
2,000
Mwenyezi Mungu walindie afya zao viongozi wetu hawa.

Ni TANZANIA pekee unaweza ukakamatwa kwanza kisha kosa likatafutwa baadae. Ukishapekuliwa.

Ni WATANZANIA pekee wanaweza kufanyiwa haya hapa duniani. We are unique in many ways.

Wagumu ni sisi RAIA wa nchi hii. Hata kuelewa iliyo HAKI yetu tumeshindwa.

Tusilishangae BUNGE letu kuwa vile lilivyo. Wamo WATANZANIA mle waliotokana na sisi tulioko huku nje. Wasingeweza kuwa tofauti na tulivyo sisi. Tena wao bungeni wanalipwa vizuri.
WATANZANIA watu wa hovyo sana. Tena sana.

Yaani hata ushiriki wetu Olimpiki ni mdogo sana kisha wa hovyo kabisa. Nikiwambia sisi WATANZANIA ni wa hovyo sitanii. Ni kila nyanja.

WATANZANIA wenzangu mnaweza kudhani nawatukana lakini ukweli ni kwamba sisi ni wa hovyo ndio sababu mambo ya hovyo yanaendelea mbele ya macho yetu hadharani.

Sisi ni wa hovyo tena hovyo sana.

Eti Mbowe 'Gaidi' anadai KATIBA MPYA hadharani. Huu ni UJASIRI wa AINA yake.

Sasa ni UGAIDI. Sio UTAKATISHAJI na UHUJUMU UCHUMI.

Sisi watanzania watu wa hovyo sana.


Nipo Tayari kwa lolote!! Chama changu naomba kauli.

Mr mkiki.
 

Jemima Mrembo

Member
Jul 19, 2021
64
150
Sierra Leone walikuwa waoga sana, wapole sana. Kila Jambo lumefungwa kwenye muda, ukifuka muda sahihi utashangaa mwenyewe jinsi tutakavyochinjana hapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom