Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Pindi Chana ana ndoa.....Zakhia ndoa ilimshinda kisa madaraka yake serikalini....Rwakatare ndo ilimshinda.....Makinda aliweza tu kuzalishwa.....
Unauhakika Rwakatare hakuzalishwa?
Pindi Chana ana ndoa.....Zakhia ndoa ilimshinda kisa madaraka yake serikalini....Rwakatare ndo ilimshinda.....Makinda aliweza tu kuzalishwa.....
Mkuu, hii habari yako ili iwe Provable tupandikie ushahidi JF, sio sehemu ya porojoMy FriendsShida inaonekana kuna watu wakishindwa na Hoja za maendeleo wanahamia kwenye Hoja binafsi mimi nakumbuka Mwinyi aliendelea kuoa wake wapya kila mwaka akiwa Rais nasikia hata wa sasa nae hivyo tusitafute ajali kwenye msiba tuwaache vijana wafanye kazi Mungu akiwajalia wataoa na kuolewa
Mkuu, hii habari yako ili iwe Provable tupandikie ushahidi JF, sio sehemu ya porojo
Mheshimiwa hapo utakuwa umefungua mlango kwa watu kuharibu kabisa.Kuoa au kuolewa haidhihirishi uadilifu wa mtu. Kwanza ingekuwa amri yangu viongozi wasingeoa ili wawe na mda mzuri wa ku2mikia nchi. Ila zaidi ya yote ndoa ni jambo la binafsi saana na hao uliowataja hapo juu most of them bdo vijana let us wait wakifika 45 hawajaoa ndio tuwahoji.
Sugu Hawezi kuoa Kilaza kama huyo.Unatafuta bwana! Kaolewe na Sugu
we kikubwa kwako ni kuoa/kuolewa? nadhani hauko siriaz, kajipange upyaMkuu, kweli kuoa ni swala binafsi, lakini ili kuwa kiongozi wa jamii kuna maadili yake pamoja na kuolea au kuoa
Sio Sugu mkuu,huyo hawezi kumuoa huyu labda unamaanisha Malaria Sugu.
duh,rwakatale ni singo?then how does she do it ama ako na serengeti boy?
Kweli unachosema kuoa au kuolewa ni suala binafsi! Lakini unapotaka kutumikia wananchi kuna sifa zake ili uwe mfano kwa jamii ni muhumu kuwa na mke/mume, kiongozi ni kioo cha jamiiHamna sheria inayosema Kiongozi bora sharti awe na mke/mume. So kuoa au kuolewa ni suala binafsi mnooooo na halina proportional na uadilifu
Kwa hiyo wewe hata Shoga akikutawala kwako ni sawa tu? na mtoto wako wa kiume akiolewa hamna tatizo kwako! Kaka Mwalimu Nyerere alisema kiongozi ni kioo cha jamiitopic yako inafaida yoyote kweli kwenye tatizo linalo ikabili taifa kwa wakati huu?au umetoka usingizini?kweli mtaji wa sisiemu ni ujinga wa wanachama wao na wale wote wanao wasapoti.zito akifuga ndoa au kuoa mwananchi alieko kasulu ,nalampaka,tandahimba,na kwingineko hiyo ndoa itamsaidia nini???????tukomae kifikra watanzania ili taifa na jamii kwa ujumla inufaike na hoja na mchango tunaotoa.
Kwa hiyo JK, Mwinyi ...etc...etc ndiyo waadilifu sana kwa vile wana wake wengi..??? vipi mapadre siyo kioo cha jamii...???Wana JF.
Kiongozi yoyote ni kioo cha jamii, hivi kwa nini hawa viongozi wetu wa Chadema hawajafunga ndoa, sio kama tunaingilia mambo binafsi ya mtu hapana lazima mbele ya jamii waonekane watu wa maadili ili Watanzania wapate kuamini zaidi kuona kweli hawa viongozi wana dhamira ya dhati kuwakomboa wananchi wa Tanzania.
Kwa uchache ngoja niwataje ili wajipange kabla ya uchanguzi ujao wawe wamefunga ndoa.
Willibrod Slaa
Zitto Kabwe
John Mnyika
Joseph Mbilinyi
wengine ni
Regia Mtema
Halima Mdee
Rose Kamili
Esther Matiko
wapo wengi kwa uchache nimewataja hawa naomba ushauri wangu muufanyie kazi