Viongozi wa CHADEMA nyie ni vioo vya jamii kwa nini hamtaki kufunga ndoa

Wana JF.

Kiongozi yoyote ni kioo cha jamii, hivi kwa nini hawa viongozi wetu wa Chadema hawajafunga ndoa, sio kama tunaingilia mambo binafsi ya mtu hapana lazima mbele ya jamii waonekane watu wa maadili ili Watanzania wapate kuamini zaidi kuona kweli hawa viongozi wana dhamira ya dhati kuwakomboa wananchi wa Tanzania.
Kwa uchache ngoja niwataje ili wajipange kabla ya uchanguzi ujao wawe wamefunga ndoa.

Willibrod Slaa
Zitto Kabwe
John Mnyika
Joseph Mbilinyi
wengine ni
Regia Mtema
Halima Mdee
Rose Kamili
Esther Matiko
wapo wengi kwa uchache nimewataja hawa naomba ushauri wangu muufanyie kazi

Crap!! Has nothing to do with leadership. Rais wa Botswana ni one of the best leaders the country has had...hajaoa..
 
Crap!! Has nothing to do with leadership. Rais wa Botswana ni one of the best leaders the country has had...hajaoa..
Full crackpot! Naona unakurupuka Unajua kama December 6 2010 Rais Ian Seretse Khama, wa Botswana alitoa tangazo kwa wananchi wake kuwa anatafuta Mke, baada wananchi wake kumwambia urais wake ataupoteza!
 
Malaria Sugu anatafuta Mke...
 
Kwani wewe ni nani humu JF,? mimi nakuona kama mtu wa Controversy tu huna la maana unalolijua! Halafu mimi sio CCM ilo swali peleka Lumumba Magamba watakujibu, mimi ni Independent Thinker, jibu hoja za msingi kwa nini viongozi wa CDM hawataki kufunga ndoa tugande hapo kwenye ili
You are not worth to be Independent Thinker , kama limekushinda kuchanganua kujua CCM nako wengi sana ambao hawajaoa na kuolewa ukamua kushambulia upande mmoja, hapo unajifariji
 
You are not worth to be Independent Thinker , kama limekushinda kuchanganua kujua CCM nako wengi sana ambao hawajaoa na kuolewa ukamua kushambulia upande mmoja, hapo unajifariji
Huu ushauri ni mzuri zaidi kwa CDM sababu wanapambana kuchukuwa nchi siku zijazo! Wala hakuna sehemu nimemshambulia mtu nimesema ukweli mtupu, kiongozi ni kioo cha jamii
 
Zitto Kabwe

Halima Mdee

Blue, huyu ameniudhi sana kamzalisha dada watu Jacquline Mgumia kumuoa hataki.
Red, huyu kazi yake kuwaharibu wasichana watu, sasa hivi anamharibu dada mmoja mbunge wa viti maalum CCM zamani alikuwa anafanya kazi kwenye gazeti moja
 
ukiwa muwazi zaidi inasaidia anawaharibu wasichana kivipi
 
ila mbona hao wa cdm wana watoto wengi wao mf Dr Slaa,Kabwe. uaminifu wa mtu tunaweza kuupima ktk mahusiano ya kawaidi tu kwny jamii mfano hawa ndg zetu kuzaa bila kuoa
si ni kukosa uadilifu,jamani hawa wanasiasa wetu ni kuwatazama mara mbili mbili kama kuna unafili mkubwa sana ndani yao
 
Mhe Lipumba...
Ila magamba wana mitala sijui kwenu ndio uadilifu au ndio mnachojisifia ushababi?
 
mkuu hao bado ni vijana na muda wa kuoa/kuolewa ukifika then watafanya hivyo...hii ni tofauti na ccm kwani watu wazima na wazee ni wengi kuliko vijana...tuwape hongera cdm kwa kuwapa nafasi vijana tofauti na vyama vingine vyote.
Wa mdee mbona haufiki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom