Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?


Sijaona point humu,kwanza uko too general...!!
 
Narudia tena akili za viongozi wa chadema ni sawa na gazeti la Tanzania daima!
 

kweli wajinga ni wengi,na wewe ni mmoja wao.
toka lini number za viongozi ni siri.
hata hujui maana ya uongozi.
 
Haki ya nani wewe una matatizo hadhara ukumaanisha nini? hizo namba zipo hadharani siku nyingi ila kwa sababu ya uvivu wenu wameamua kuwasaidia, ingia kwenye web site ya Bunge utakuta hizo namba na e-mail address zao. sasa sijui unazungumzia hadhara ipi wakati namba hizo zilishakuwa hadharani.
 
Kutaja namba ya simu ya kiongozi hadharani sio kosa,kosa lipo alipotaka(aliyezitaja namba) watu wawapigie au kutuma meseji za kuwaalani,Hauwezi ukaanza tu kumlaani mtu.Uzoefu unaonesha watu wengi wanaopendelea kuwalaani wengine walipatikana na laana hizo wenyewe.Walichotakiwa kufanya ni kueleza udhaifu uliopo kwa viongozi hao na hivyo chaguzi zijazo kuchgua vyama vya upinzani(CDM) ili iwe rahisi kwa baadaye CDM pia kuamua kwa habari ya spika na naibu wake.
 

Sasa mbona na wewe unfanya ghadhabu kwa Dr Slaa?

Haya namba yake hii hapa +255 784 666995
 
Mimi si chilisosi wala tomatososi ila ni NZOGOLONG'IVA usinibatize jina lisilokuwa langu. Unashabikia namba za akina Makinda kuwekwa hadharani vipi tukiweka ya mkeo utaridhika? sema niiweke hadharani wana JF wamjulie hali shemeji yao.

Weka hadharani ya mke wangu. Unajifanya kunijua mimi ni daraja lingine, si mpumbavu kama wewe unayeshabikia upuuzi wa Makinda wakati hata hujui utakula nini. Makinda kwao pale Yakobi ni jirani sana na hapa kwangu Ndzengelendete lakini siwezi kuunga mkono huu upuuzi wake na nafurahi akitukanwa. Ingawa nakaa kijijini lakini watoto wangu na mke wangu wana bima ya afya, tena ya KIJANI, wanasoma kwenye shule nzuri kuliko ukoo wako wote lakini bado sikubaliani na upuuzi. Watumwa kama nyie mnaoshindwa kupinga msichokiamini kwa kujikomba always mnakufa maskini kwa kuwa unaishi kwa ugali wa leo
 
Sasa mbona na wewe unfanya ghadhabu kwa Dr Slaa?

Haya namba yake hii hapa +255 784 666995

nashukuru kwa namba! asante sana! ila naomba naomba ili wana chadema wote wawe na ukaribu na viongozi wakuu, ni bora kwenye mkutano wa hadhara namba za viongozi wakuu zitajwe!
 
nashukuru kwa namba! asante sana! ila naomba naomba ili wana chadema wote wawe na ukaribu na viongozi wakuu, ni bora kwenye mkutano wa hadhara namba za viongozi wakuu zitajwe!

Wewe kwa vile si mwanachama ndio maana huna. Wanachama wote wanajua namna ya kuwasiliana na viongozi wao bila ya URASIMU
 
Wewe nakufananisha na kiongozi mmoja alisema wanamtwara walikuwa sahihi kuandamana ili kujua maslahi yao kwenye gas kosa liko kwa wanasiasa waliowashauri kuandamane cjui kazi ya mwanasiaasa ni ninii? Walichofanya viongozi wa cdm nikuwapa raia number za simu za makinda na ndugai ambazo zipo kwenye tovuti ya bunge ambapo sio wananchi wote wenye uwezo wa kuassess hiyo tuvuti done jiongezee kakaaa
 

Wewe ni Kenge tu huna ujualo .Namza hizo si siri na wao ni viongozi wa Taifa hili .Mbona za JK zina fahamika vipi za kwako ?
 
mbona tuliwahi pewa namba za wakuu wa polisi? wakumbuka?
 
Mwanakondo, ukae ukijua kuwa Makinda na Ndugai ni viongozi wa kitaifa. Kwa hiyo hakuna kosa lolote kwa namba zao kuwekwa wazi.
Wapo viongozi wakubwa zaidi yao ambao namba zao zinajulikana, na wananchi wa kawaida kabisa huwapigia simu pale wanapohitaji kufanya hivyo.
 

Naona mkuu ukweli unaujua lakini umeamua kupisha tu, kwenye website ya Bunge zipo namba zote za wabunge za kwao binafsi lengo ni kuwapa fursa wananchi kuongea nao moja kwa moja kero zinazo wakumba.
 
JF bana raha tupu, CDM wataacha bunge likiendeshwa kwa weredi, mbona CDM hawakumsakama sana mzee 6 enzi hzo?
 

Kwa ujinga huu ndo maana mnasaini mikataba isiyo kuwa na tija kwa wananchi kwa kusema ni siri, hao jamaa wanapaswa kuwajibika kwa wananchi kama ilivyo makamanda wa polisi mikoa namba zao zipo hadharani kwa nn zao ziwe siri?
 
Namba za Bibi yenu mi ninazo kitambo tu,sijaona kosa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…