Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

Mimi si chilisosi wala tomatososi ila ni NZOGOLONG'IVA usinibatize jina lisilokuwa langu. Unashabikia namba za akina Makinda kuwekwa hadharani vipi tukiweka ya mkeo utaridhika? sema niiweke hadharani wana JF wamjulie hali shemeji yao.
Chilisosi umeibuka na ID mpya. Kweli dhambi ya usaliti ni kali sana. Inafanya watu mnakuwa very unsettled...
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
busara za mtu hazionekani kwenye mavazi wala sura bali fikra.hawa jamaa wamefikiri katika level yao kulingana na uwezo wao.tusiwalaumu maana mtu hufanya kile anachoweza kulingana na uwezo wake wa kufikiri.
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Ukapimwe akili! kwa sababu hujui kuwa akina makinda na Ndugai si tu wanaCCM bali wanaishi kwa kodi za watanzania wote. Ukapimwe akili kwa sababu hujui kuwa ni jambo la kizalendo mawasiliano ya viongozi wote yakapatikana kwa walipa kodi wote!

Ukapimwe akili kwa sababu hujui haki za raia kwa viongozi wao na ni nani anayetakiwa kuwajibishwa na nani. Ukapimwe akili kwa sababu hujui hata haki yako.

Ukapimwe akili kwa sababu watu kama nyie ndio mliotengeneze majambazi ya siasa yakawa miungu watu na kudhalilisha jamii bila aibu kwa sababu wanajua wanaungwa mkono na watu kama wewe!

Mwisho ukapimwe akili kwa sababu hata hiyo serikali unayoitetea imewezesha hizo namba unazoita SIRI zikapatikana kwenye mitandano. Waungwana wakiwaambia na wengine wewe unaona shida kaaz kwel kwel!
 
Mkuu Mwakidondo hajapinga madai ya CDM wala kwa namna yoyote hajamtetea spika na naibu wake ila kahoji kuwekwa hadharani namba zao kwa lengo la kuhamasisha watu wazitumie. Vee uva wimuhonge wiliga umgosi muyago utije mkimama!

Mkuu,mbona kama unamsemea mleta uzi? Mbona hajaanza kuhoji zile zilizoko kule kwenye mtandao wa bunge ila kaanza kuhoji baada ya kuwa zimetolewa na viongozi wa CDM? Kule kwenye mtandao wa bunge zimewekwa kwa malengo gani kama si watu wazifahamu na kuzitumia? Binafsi sijaona tatizo lolote katika namba hizo kutangazwa na ukweli ni kwamba, nilikuwa nazifahamu kupitia mtandao wa bunge hata kabla hazijatangazwa hapo mkutanoni!!!
 
Bwana mdogo tunatakiwa kuwekeza katika utekelezaji wa mkakati ambao tuna hakika pasina shaka utatupa matokeo tarajiwa. Kwa akili yako ya kihambule unategemea kweli sms nyingi za hekima na zisizo za hekima kutoka kwa wafuasi wa CDM zitaweza kuwabadili akina Makinda waanze kufikiri na kutenda kwa mujibu wa maono yako. Hofu yangu hii approach inaweza kuwafanya wawe na kiburi kwani nao watapata watakaowaunga mkono kwa kuamini wapendwa wao wanasakamwa bure. Naamini CDM kuna vichwa ambavyo bado havijawa spoilt kama chako wanaoweza kuja na mikakati mujarabu ya ku-address hicho kinacholalamikiwa kuliko kuhimiza hiki ninachokiona kama mob justice.

we kweli umekunywa dabo punch toka kwapusi kule ubwezin,.
 
Mkuu hata kwenye website ya Bunge namba hizo zipo, na kila mbunge namba zake za simu zipo kwenye website ya bunge
Suala sio kwamba namba ya mtu inapatikana wapi; namba ya kiongozi yeyote lazma iwe inapatikana mahali fulani lakni suala la msingi ni muktadha ambao mtu huitoa namba hiyo.Kwa mfano hawa ndugu zetu chadema wamekuwa wakiwaambia wananchi kwamba hawa polisi mmewaajiri ninyi (kitu ambacho ni sahihi lakini katika mazngira wanayosemea na wanavyosema wanakuwa wanachochea fujo).Kwa mfano kwenye maandamano yaliyokatazwa na polisi wao wakalazmishia halafu katika mazngira ambayo watu wana jazba kali pengine na fujo za hapa na pale wao ndo wanasema "HAWA POLISI MUMEWAAJIRI NYIE WASIWAAMBIE LOLOTE HAWA.NA NAMBA YA IGP HII HAPA NI 0719........ MPIGIENI MUMUAMBIE KABISAAAA! KWAMBA HAWEZI KUWAFANYA LOLOTE KWANI NINYI NDO MUMEMUAJIRI".sasa hapa unakuta hoja ni sahihi lakini mazingira inapotolewa na jinsi inavyotolewa si sahihi.
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Acha ushamba wewe namba za simu lini ni kosa kugawa kwani nani kakwambia watu hawana namba za viongozi wa bunge. Watu wana namba za Fast jet sembuse spika walioweka mpaka CV zao na za wabunge wote kwenye website kama hujui kwa sababu ya technofobia tembelea website ya bunge utaona na CV ya kada wenu Lusinde huenda hujui kasomea Chuo cha matusi Ihemi. Siku ingine usikurupuke uulize kwanza ndio upost uzi.
 
Ikiletwa bili ya simu ya milioni 10 kwa mwezi tusishtuke maana spika na naibu wake watakuwa wanatumia vocha kujibu meseji za wananchi...
 
Mwakidondo+ Anne makinda+ Job ndugai is just the same to ZERO.
 
hiyo ndio mahakama ya umma.wewe mbona huwa unaomba namba ya msichana hata usiyemjua?
 
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika.

Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama?

Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!

Hizo sio namba za watu, mbona unaeleweshwa lakini unajifanya kichwa ngumu? Spika na Naibu spika ni taasisi na sio makinda wala ndugai, na isitoshe watoa matusi wanajulikana (mwigulu et al) hao sheria itawashughulikia ipasavyo, kwahiyo acha kujitia wasiwasi kwa namba ambazo tunazilipia kodi zetu.
 
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika.

Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama?

Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!

Hizo sio namba za watu, mbona unaeleweshwa lakini unajifanya kichwa ngumu? Spika na Naibu spika ni taasisi na sio makinda wala ndugai, na isitoshe watoa matusi wanajulikana (mwigulu et al) hao sheria itawashughulikia ipasavyo, kwahiyo acha kujitia wasiwasi kwa namba ambazo tunazilipia kodi zetu.
 
Bwana mdogo tunatakiwa kuwekeza katika utekelezaji wa mkakati ambao tuna hakika pasina shaka utatupa matokeo tarajiwa. Kwa akili yako ya kihambule unategemea kweli sms nyingi za hekima na zisizo za hekima kutoka kwa wafuasi wa CDM zitaweza kuwabadili akina Makinda waanze kufikiri na kutenda kwa mujibu wa maono yako. Hofu yangu hii approach inaweza kuwafanya wawe na kiburi kwani nao watapata watakaowaunga mkono kwa kuamini wapendwa wao wanasakamwa bure. Naamini CDM kuna vichwa ambavyo bado havijawa spoilt kama chako wanaoweza kuja na mikakati mujarabu ya ku-address hicho kinacholalamikiwa kuliko kuhimiza hiki ninachokiona kama mob justice.

you never know..
 
Mimi si chilisosi wala tomatososi ila ni NZOGOLONG'IVA usinibatize jina lisilokuwa langu. Unashabikia namba za akina Makinda kuwekwa hadharani vipi tukiweka ya mkeo utaridhika? sema niiweke hadharani wana JF wamjulie hali shemeji yao.

Povu lote hilo la nn ndugu yangu? Hawo ni viongozi namba zao zipo wazi kwa wananchi kitambo tu walichofanya cdm ni kuwakumbusha tu, mfano mm nina namba za viongozi wote wa juu wa serikali hii.tatizo hujishughulishi kucheck mitandao umeganda hapa hap jf kisa umelipwa kukaa hapa kuijibu cdm! Wake up my friend saa ya ukombozi imefika
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!

Acha unafiki, hii ni njia ya kidemocrasia ya kushinikiza haki, kama zamani angetoa saduku la posta ili kila mwananchi awaandikie barua, lakini kwa technologia iliyopo simu ni uhakika! mpaka simu ijam!
 
Suala sio kwamba namba ya mtu inapatikana wapi; namba ya kiongozi yeyote lazma iwe inapatikana mahali fulani lakni suala la msingi ni muktadha ambao mtu huitoa namba hiyo.Kwa mfano hawa ndugu zetu chadema wamekuwa wakiwaambia wananchi kwamba hawa polisi mmewaajiri ninyi (kitu ambacho ni sahihi lakini katika mazngira wanayosemea na wanavyosema wanakuwa wanachochea fujo).Kwa mfano kwenye maandamano yaliyokatazwa na polisi wao wakalazmishia halafu katika mazngira ambayo watu wana jazba kali pengine na fujo za hapa na pale wao ndo wanasema "HAWA POLISI MUMEWAAJIRI NYIE WASIWAAMBIE LOLOTE HAWA.NA NAMBA YA IGP HII HAPA NI 0719........ MPIGIENI MUMUAMBIE KABISAAAA! KWAMBA HAWEZI KUWAFANYA LOLOTE KWANI NINYI NDO MUMEMUAJIRI".sasa hapa unakuta hoja ni sahihi lakini mazingira inapotolewa na jinsi inavyotolewa si sahihi.

R.I.P betlehem naona huna maana wewe, nyie ndo mnaolea maovu, kaamue mapigano ya udini geita yaliyoanzishwa na kauli za viongozi wenu wa ccm wenye busara!
 
Last edited by a moderator:
kwa hali yoyote ile kitendo hicho ni utovu wa nidhamu. simu hata za kurugenzi ya mawasiliano ikulu zipo kwenye tovuti mbalimbali. simu ya ofisi ya spika ipo katika tovuti ya bunge. tatizo ni kuitoa hadharani katika HALI YA JAZBA NA LAWAMA MBELE YA KADAMNASI ILIYOTAWALIWA NA GHADHABU. unategemea heri hapo!? watatukanwa tu! siyo mwanasheria lkn kwa maoni ya misingi ya haki za binadamu naona kuwa makinda na ndugai hawajatendewa haki.

watu wana maswali mengi ya kumuuliza slaa na mbowe. wanaambiwe wawasiliane na viongozi wao hukohuko waliko. kwa nini slaa au mbowe hawaweki namba zao hadharani na kuzitaja mikitanoni ili wana chadema wakiwahitaji wawapigie moja kwa moja!? tuache siasa za maji taka. watu wataiona chdm kama chama kinacho leta machafuko na kutoweka kwa amani. cuf walianza vizuri lkn sera za jino kwa jino zilikiumiza sana.

ni ushauri wa bure!

naomba namba ya slaa iwekwe hapa hadharani. nina maswali yafuatayo ya kumuuliza;
1- kwa nini alizini na kuzaa nje ya ndoa huku akiwa padri na katibu wa baraza la maaskofu?
2- kwa nini alimuiba josephine hali ya kua ni mke wa mtu katika ndoa halali? sasa hivi amezaa nae! mtoto wa kupata huku ukiwa na umri zaidi ya miaka 70 siyo uhalifu!?
3- kwa nini alijikopesha mamilioni ya chama chetu chdm bila kufuata taratibu stahiki!?
4- kwa nini amekua akitoa ahadi na taarifa za uongo majukwaani!?
ccm wameingiza kontena la kura, mfuko wa saruji utauzwa 5000 nikipata urais.........
5- KWA NINI HELA YA RUZUKU HAIFIKI MIKOANI KUENDELEZA CHAMA BADALA YAKE INAISHIA MAKAO MAKUU!? yeye akiwa katibu mkuu haoni kuwa anakiua chama!?

naomba namba ya slaa iwekwe wazi ili tuliyo na kiu ya kumuuliza tumuulize bila kumtukana
 
Mbona hakuna usiri katika hili.........na hizo simu zinagharimiwa na kodi zetu

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1268.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Anne[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Semamba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Makinda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Njombe Kusini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 941,Dodoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 465226
+255 784 465226
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Back
Top Bottom