Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

msuya haihitajiki uwe na degree ndo utambue walichofanya chadema ni unfair

Tatizo la akili za Kugundisha na Partex, namba za mawazili, wabunge, Raisi, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wengineo inatakiwa zijulikane Public na umma wote. acha mambo ya kikameroon
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!

izo namba wengine hatujazpata please zimwagen apa za wabunge wote tanzania tuwaonyeshe kaz wez wakubwa hawa,
 
Hii aproach yenu ya kutoa namba za simu za spika na naibu wake hadharani bila ridhaa yao, halafu mnaagiza wapambe wenu wawatukane na kuwashinikiza matwakwa yenu si kitendo cha kiungwana bali ni cha kihuni, kumbukeni hz ni namba zao binafsi na si za ofisi,
nyie mliochukua namba bora mkaacha mara moja kuwatukana waheshimiwa hawa

Haikubariki kwako. hizo number hata kwenye website ya bunge zipo wazi. Na kumbuka ni viongozi uchwara wa Bunge. na wanaishi na kutumia kodi zetu. Sasa ww mburula wa CCM umetokea lumumba kuja kuleta umbea hapa eti sio haki. CHEFUUUU!!
 
Kweli wewe ni satan
Unatafuta sifa za kijinga eti kisa umeanzishan thread na wewe unampigia demu wako achungulie ulivyo anzisha thread, Hizo namba ni Public, kwani wakina Mwakyembe, Said Mwema na wengineo wanavyo toa namba huwa wanamanisha nini? website ya Bunge kwani ina password? mbona zipo?
 
Wewe akili yako ni matusi na kejeli ndo unajiona una akili?
Tatizo la akili za Kugundisha na Partex, namba za mawazili, wabunge, Raisi, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wengineo inatakiwa zijulikane Public na umma wote. acha mambo ya kikameroon
 
They are naturally responsible leaders because they know human behaviour; some are bad tampered so to warn them about decent use of the speakers' mob. phones is a sign of political maturity. Viva cdm!
 
Hakuna kosa kisheria kwa sababu kwenye website ya bunge namba hizo ziko wazi. Lakini hata hivyo kitendo hicho nakiunga mkono kwa sababu viongozi wetu wanatakiwa kuwajibika kwa wananchi. Sipati picha mpaka sasa wamepokea sms ngapi lakini wanatakiwa kujutia vitendo vyao. Wametuboa mda mrefu na sasa wanalipa gharama ya unafiki!

Napendekeza kuanzia sasa hakuna miwaada ya kijinga kupita mbele ya wabunge wa Chadema, itabbidi wabunge wote 49 kusimama na kupiga kelele mpaka Spika ahahirishe bunge. Tungejua mapema sheria kandamizi zisingepita.

Aruta continua!!!
 
Mmmh ufikiri wako mdogo
Haikubariki kwako. hizo number hata kwenye website ya bunge zipo wazi. Na kumbuka ni viongozi uchwara wa Bunge. na wanaishi na kutumia kodi zetu. Sasa ww mburula wa CCM umetokea lumumba kuja kuleta umbea hapa eti sio haki. CHEFUUUU!!
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!

Ndiyo maana kuna vitabu vya namba za simu (Telephone directory) ukienda posta unapewa, kukusaidia kutafuta namba ya simu ya mtu yeyote au namba ya shirika, chama, kiwanda n.k.
 
I honestly dont think there is anything bad with that. Kama ingekuwa kuwapigia kura za ubunge wasingetoa hizo namba? Tunaamini wao ni viongozi, hata kama watatukanwa lazima wajiulize kwanini watukanwe? Cha tujue kwamba sehemu kubwa ya wananchi ni maskini wanahitaji mwongozo. Walichofanya viongozi wa CHADEMA ni kujaribu kuwaambia wananchi kuwa viongozi si miungu watu but they are reachable and if they were or have not, then today is the right time they realize and make themselves reachable.Nafikiri mtoa uzi ana ile hali ya kuogopa viongozi kitu ambacho lema amesema ni dhambi kubwa na hiyo ni kweli!!! They are public servants mkuu usiogope. Sasa hivi watasema ni illegal lakini wanapopita kuomba kura huwa wanagawa namba wanasema nipigie muda wowote, why not now?
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!

wameamuwa kuzitoa namba zao hadharani kwa vile na wao walifanyiwa undava na spika mbele ya bunge wenzao na huku watanzania pamoja na dunia nzima wakishuhudia live kwenye TV. pia wametoa hizo namba bila ridhaa yao kwa sababu na wao walifanyiwa undava bila ridhaa yao.Dawa ya moto ni moto,mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadam mchungu.
 
kwa hali yoyote ile kitendo hicho ni utovu wa nidhamu. simu hata za kurugenzi ya mawasiliano ikulu zipo kwenye tovuti mbalimbali. simu ya ofisi ya spika ipo katika tovuti ya bunge. tatizo ni kuitoa hadharani katika HALI YA JAZBA NA LAWAMA MBELE YA KADAMNASI ILIYOTAWALIWA NA GHADHABU. unategemea heri hapo!? watatukanwa tu! siyo mwanasheria lkn kwa maoni ya misingi ya haki za binadamu naona kuwa makinda na ndugai hawajatendewa haki.

watu wana maswali mengi ya kumuuliza slaa na mbowe. wanaambiwe wawasiliane na viongozi wao hukohuko waliko. kwa nini slaa au mbowe hawaweki namba zao hadharani na kuzitaja mikitanoni ili wana chadema wakiwahitaji wawapigie moja kwa moja!? tuache siasa za maji taka. watu wataiona chdm kama chama kinacho leta machafuko na kutoweka kwa amani. cuf walianza vizuri lkn sera za jino kwa jino zilikiumiza sana.

ni ushauri wa bure!

naomba namba ya slaa iwekwe hapa hadharani. nina maswali yafuatayo ya kumuuliza;
1- kwa nini alizini na kuzaa nje ya ndoa huku akiwa padri na katibu wa baraza la maaskofu?
2- kwa nini alimuiba josephine hali ya kua ni mke wa mtu katika ndoa halali? sasa hivi amezaa nae! mtoto wa kupata huku ukiwa na umri zaidi ya miaka 70 siyo uhalifu!?
3- kwa nini alijikopesha mamilioni ya chama chetu chdm bila kufuata taratibu stahiki!?
4- kwa nini amekua akitoa ahadi na taarifa za uongo majukwaani!?
ccm wameingiza kontena la kura, mfuko wa saruji utauzwa 5000 nikipata urais.........
5- KWA NINI HELA YA RUZUKU HAIFIKI MIKOANI KUENDELEZA CHAMA BADALA YAKE INAISHIA MAKAO MAKUU!? yeye akiwa katibu mkuu haoni kuwa anakiua chama!?

naomba namba ya slaa iwekwe wazi ili tuliyo na kiu ya kumuuliza tumuulize bila kumtukana
Scramble mayai au nani vile jinalo???Nilifikiri upo duniani kumbe lah!!!Wajitambua kweli?Yaani wewe katika dunia hii ya kupanga ni kuchagua unaona ni ajabu mfuko wa CEMENT KUUZWA 5,000/=Tshs?¿¿?NI NINI KINACHOKUFANYA UJITIE HAMNAZO?
 
Na wewe mwakidondo uache vituko kwa kuanzisha thread bila kutafakari.
Madam spika na naibu wake ****** namba zao za simu sio siri as long wako kwenye ofisi za umma na tunawalipa mishahara kwa kodi zetu.
Wakifanya vizuri wanasifiwa na wakiboronga lazima wanyweshwe sifongo!
 
Last edited by a moderator:
Sio vituko, its called HARDCORE POLITICS. Sema kwetu Bongo ndo ngeni ndo maana unashangaa.
 
Hizo ndizo sera zao, muda unakwenda wananchi wakiwapiga kibuti kwa kuwa hawana sera watadai wameibiwa kura.
 
Back
Top Bottom