scramble
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,593
- 257
Wewe kwa vile si mwanachama ndio maana huna. Wanachama wote wanajua namna ya kuwasiliana na viongozi wao bila ya URASIMU
nani kakuambia kuwa mimi siyo mwanachama? au kwa sababu nimemkosoa slaa? sidhani kama unasema kweli kuwa kila mwanachama ana simu za viongozi. acha uongo wa mchana ndugu yangu!