Bwana mdogo tunatakiwa kuwekeza katika utekelezaji wa mkakati ambao tuna hakika pasina shaka utatupa matokeo tarajiwa. Kwa akili yako ya kihambule unategemea kweli sms nyingi za hekima na zisizo za hekima kutoka kwa wafuasi wa CDM zitaweza kuwabadili akina Makinda waanze kufikiri na kutenda kwa mujibu wa maono yako. Hofu yangu hii approach inaweza kuwafanya wawe na kiburi kwani nao watapata watakaowaunga mkono kwa kuamini wapendwa wao wanasakamwa bure. Naamini CDM kuna vichwa ambavyo bado havijawa spoilt kama chako wanaoweza kuja na mikakati mujarabu ya ku-address hicho kinacholalamikiwa kuliko kuhimiza hiki ninachokiona kama mob justice.