Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
Jamani nilikuwa naomba kujua kama kuna madhara yoyote yanayoweza kuwapata wabunge wa CHADEMA NA WANACHADEMA kwa ujumla kwa kutomtambua Raisi.
Naomba kuwasilisha
Naomba kuwasilisha
Kishelia je?
Kishelia je?
Hao CHADEMA hovyo sana! Kama kweli hawamtambui basi sharti wasiingie bungeni na wasichukue ile hela ya posho wala pesaingine manake itakuwa kama wanachukua kutoka serikali wasioitambua!! Yule kiongozi wa upinzani bunge lililopita aliwaambia hivyo kwani wao CUF hawaku ingia baraza la wakilishi mpaka muafaka ulivyofikiwandipo wakarudi barazani na kuanza kuchukua fweza.
Namna gani hii!!!!????
hao chadema hovyo sana!
Namna gani hii!!!!????
Wabunge wa CHADEMA wametoka kwenye ukumbi wa Bunge ila wameonekana wakitazama TV (Runinga) hotuba ya JK , sasa hapo haumtambui kivipi ili hali unamsikiliza ? si ni bora ungekaa tu ukumbini ukamsikiliza vizuri Mh. Rais