Viongozi wa CHADEMA kutokumtambua Rais ni Kosa?

Democrasia

Member
Feb 1, 2008
79
3
Jamani nilikuwa naomba kujua kama kuna madhara yoyote yanayoweza kuwapata wabunge wa CHADEMA NA WANACHADEMA kwa ujumla kwa kutomtambua Raisi.
Naomba kuwasilisha
 
Edson

JF-Expert Member
Mar 7, 2009
9,809
4,891
sio kosa maana hata wtz %72 hawamtambui na hakuna madhara.

na leo natamani wasiingie mara huyu jk atakopofika mjengoni

watoke nje na kuanza kucheza bao au karata
 
HISIA KALI

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
694
108
Hakuna sheria inakatiza mtu kusema kuwa hatomtambua rais. Lakini kama rais ametangazwa na tume ya uchaguzi kutokumtambua hakutakuwa na nguvu kisheria kwa sababu hakuna mahakama yeyote yenye mamlaka ya kuchuguza kuchaguliwa kwake kwa mujibu wa ibara 42(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hii iliwekwa makusudi kwani walikuwa madarakani walijua kuna wakati watahitaji kuchakachua matokeo.
 
Gelange Vidunda

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
314
30
Hao CHADEMA hovyo sana! Kama kweli hawamtambui basi sharti wasiingie bungeni na wasichukue ile hela ya posho wala pesaingine manake itakuwa kama wanachukua kutoka serikali wasioitambua!! Yule kiongozi wa upinzani bunge lililopita aliwaambia hivyo kwani wao CUF hawaku ingia baraza la wakilishi mpaka muafaka ulivyofikiwandipo wakarudi barazani na kuanza kuchukua fweza.

Namna gani hii!!!!????
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
64

a typical ignoramus!
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
306
Wabunge wa CHADEMA wametoka kwenye ukumbi wa Bunge ila wameonekana wakitazama TV (Runinga) hotuba ya JK , sasa hapo haumtambui kivipi ili hali unamsikiliza ? si ni bora ungekaa tu ukumbini ukamsikiliza vizuri Mh. Rais
 
Lorah

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
1,193
202
HAHAHAH WAMEMWAIBISHA RAIS WAKO MBELE YA WAGENI WAKE....
KWANI KUANGALIA MTU AKIONGEA KWA TV NI KOSAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA:doh:
 
Mantuntunu

Senior Member
Nov 1, 2010
137
16
Katika hali iliyokuwa ya kubeza Kikwete awaambia Wapinzani kwamba hata wasipomtambua wasisahau kwamba watahitaji ushirikiano wa Serikali iliyopo madarakani ili kuweza kuleta maendeleo katika Majimbo yao na kusisitiza kuwa na Serikali hiyo yeye ndio Rais wake.

Maana yake ni kwamba itabidi wamtambue ndio wataweza kupata ushirikiano. Sounds like a blackmail!!
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,167
Wabunge wa CHADEMA wametoka kwenye ukumbi wa Bunge ila wameonekana wakitazama TV (Runinga) hotuba ya JK , sasa hapo haumtambui kivipi ili hali unamsikiliza ? si ni bora ungekaa tu ukumbini ukamsikiliza vizuri Mh. Rais

Karibu JF.

Hongera kwa kujiunga leo.

Bahati mbaya umeanza kwa hoja nyepesi.
 
Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
42
hiyo ni ku send signal kwa serikali kuwa wali-chakachua ,hivyo hata baadaye watakuwa makini kufanya madudu kama hayo....
bravo Chadema
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,676
2,189
ThinkTwice
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateThu Nov 2010Posts6Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom