GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
siasaza bongo bwana sijuwi siku hotubaya jk kujadiriwabungeni watatoka au wataijadiri?Wabunge wa CHADEMA wametoka kwenye ukumbi wa Bunge ila wameonekana wakitazama TV (Runinga) hotuba ya JK , sasa hapo haumtambui kivipi ili hali unamsikiliza ? si ni bora ungekaa tu ukumbini ukamsikiliza vizuri Mh. Rais
Umekaa kaa kama wale wauza maji wa kariakoo yaani upeo wako wa kufikiri ni zero minus, sijui nani amekuelekeza kuingia humu JF. kICHEFUCHEFU TUPUHaaa hufuatilii vyombo vya habari ? walikuwa kwenye ukumbi wa upinzani bungeni wanakodolea tu Mh. Rais anaongea
Chanzo : Star tv
Ha aha aaaaaa, yeye ndio Rais kweli, na nyenzo zote za kifedha za maendeleo ziko serikalini kwake. Na kodi hata yale majimbo waliyoshinda wapinzani atakusanya kwa mujibu wa sheria na kuitumia serikalini. Na ndipo hapo aliposema hawana wa kumlilia zaidi ya yeye , kwani hayo yote waliyo yaahidi wapinzani, ni yeye ndio wakuyatekeleza na serikali yake na si mwingine. Mtasoma namba tu !
Big up, simameni imara msitetereke! Mikoa mingine twajahuku mwanza siku hizi umeme mbaya kweli na mgao hauishi sijui ndo tushaanza kuwatambua, lakini no worries hata gizani haki itapatikana tu
Hao CHADEMA hovyo sana! Kama kweli hawamtambui basi sharti wasiingie bungeni na wasichukue ile hela ya posho wala pesaingine manake itakuwa kama wanachukua kutoka serikali wasioitambua!! Yule kiongozi wa upinzani bunge lililopita aliwaambia hivyo kwani wao CUF hawaku ingia baraza la wakilishi mpaka muafaka ulivyofikiwandipo wakarudi barazani na kuanza kuchukua fweza.
Namna gani hii!!!!????
kwahiyo ana maana hawezi kupeleka huduma za jamii kwenye majimbo ya upinzani au???
It has the biggest backslash --- biggest misktake if he takes that route maana wa kigoma wameshaonyesha why?
too bad JK
yaaani sijui kama atalala leo..yaani conclusion yake ndo ilikuwa mipasho dot com tupu..eti mi ndo rais sasa ukiwa rais ndo nini?uibe kura halafu utegemee utachekewa chekewa tu ..yaani mwaka huu mi nataka chadema ondoeni hata shilingi bunge livunjwe uchaguzi urudiwe..yaani huyu hakuna kumaliza 5 years...
Wabunge wa CHADEMA wametoka kwenye ukumbi wa Bunge ila wameonekana wakitazama TV (Runinga) hotuba ya JK , sasa hapo haumtambui kivipi ili hali unamsikiliza ? si ni bora ungekaa tu ukumbini ukamsikiliza vizuri Mh. Rais