Nape apingwa Facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape apingwa Facebook

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Jul 26, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  haya ndiyo maneno ya nape fb.*
  TUMETHUBUTU ,TUMEWEZA,TUNASONGA MBELE......
  2 hours ago*via*Facebook for iPhone*·*Like*·*
  • Pretty Judith,*Jerry Silaa*and*17 others*like this.
   • [​IMG]


    Goodluck Kuku Nyanda*Hongereni..2 hours ago*·*Like*·**1 person    [*][​IMG]


    Clemence Mrope*mmmh!2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Subilaga Hall*Mmmh mimi bado kwakweli sikubaliani na hiyo kauli haitofautiani na ile ya kasi mpya nguvu mpya na hali mpya wakati mambo ni yaleyale tunayaona mwakani tena tutasikia kauli nyingine. Tumekuwa hodari wa maneno kuliko kazi2 hours ago*·*Like*·**5 people    [*][​IMG]


    Nicas Bravo Mtey*Arusha utakuja lini?@nape2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Mohamed Saidi*mhh! Sijui mmeweza kwa lipi?2 hours ago*·*Like*·**1 person    [*][​IMG]


    Mwasakafyuka Samson*Sasa kwenye hiyo pic umethubutu kuwa karibu na Mh. Waziri !?2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Hassan Mtinika*picha haiendni na ujumbe.......2 hours ago*·*Like*·**5 people    [*][​IMG]


    Nape Nnauye*Arusha very soon2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Erick Magorosa*Mmeweza nn kuwa specific basi maana mtu anaweza kusema mmethubutu kudanganya na mmeweza.2 hours ago*·*Like*·**4 people    [*][​IMG]


    Nicas Bravo Mtey*hapo ni kama yupo msibani hv. Mmethubu2 nini? Mmeweza nini? Na mmesonga mbele kvp? Mbn hapo kuna cntofaham. Pcha haiendani na maelezo ulyotoa.@nape2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Erick Magorosa*Mmeweza nn kuwa specific basi maana mtu anaweza kusema mmethubutu kudanganya na mmeweza.2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Cönfidence L Lubegwa*Action speaks loudy than wards2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Senzia Nasib*Sizan kama mmeweza.amjaweza chochote,amjathubutu hata kiduchu.mnawaada vijana,wazee,watoto na vikongwe.jaribun kuhaid k2 mnacho weza kukitekeleza.2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Ronalld Ngalai*Mnagusia na tulivyoshindwa kuwekeza katika umeme?2 hours ago*·*Like*·**1 person    [*][​IMG]


    Yusuph Khalfan Madege*Yaani ukiwa kiongozi unakuwa jalala la **** za watu.2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Diego Mollel*ndo yale yale! Drama tupu! Itakua na picha nyingine inatambulishwa baada ile ya kasi mpya kukosa waigizaji wake mashuhuri walio jiengua wakati movie haijaisha ukizingati watanzania hupenda movie za kiswaili mana kingereza kwao kigumu..karibuni ntaitangaza kwenye bongo movie2 hours ago*·*Like*·**2 people    [*][​IMG]


    Pretty Judith*Mmethubutu,mnaweza na mnasonga mbele ni kweli mmeendelea kutuweka gizani.2 hours ago*·*Like*·**3 people    [*][​IMG]


    Stephen Mndalila*Kaka safari bado ni ndefu inahitajika overwhole, engine bado ni chafu yanahitajika maamuzi magumu!2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Mohamed Saidi*inawezekana kweli mmeweza lakn bora mtuambie kp mlichoweza. Au kurithishiana madaraka?2 hours ago*·*Like*·**1 person    [*][​IMG]


    Benedict Mutobesya*Ni vizuri ukaangalia maoni ya watu na mpime mwenyewe!! siyo wote wapinzani wanaotoa coment zao, wamechoshwa na maneno yenu mengi!!!2 hours ago*·*Like*·**3 people    [*][​IMG]


    Benny Wissa*Endeleeni kuvuana magamba,wakati watu tuna lala giza,mafuta bei juu ,mpo Kwa masilahi yenu2 hours ago*·*Like*·**1 person    [*][​IMG]


    Joshua Mwaikenda*Hakuna kauli inakera kama hii baada ya Ari....Nguvu.....Kasi2 hours ago*·*Like*·**1 person    [*][​IMG]


    Yassein Buchard*Kwakweli Mi sjaona chochote ila nahisi wale watu wa KTM,URAFIKI,na MWATEX waandishi wa maneno ktk Khanga wamepata uraji kwenu kusema ukweli maneno yenu yanavutia,ila vitendo na utaaramu pia kaombeni ushauri kwa Watu kama Pro.Lipumba,Dr.Slaa,Tindu Lisu labda Mnaweza Mkaweza Watz wa leo tumeamka na tumesoma hatudanganyiki!2 hours ago*·*Like*·**2 people    [*][​IMG]


    Hassan Mtinika*kaka yngu nape muda utasema!!kama mmeweza kutuweka gizani,mmethubutu kutufaya watumwa ndan y nchi yetu,,mnasonga mbele kutufilisi na kuiuzilia mbali nchi yetu sawa...2 hours ago*·*Like*·**1 person    [*][​IMG]


    Manu Mziray*hakuna lolote wala chochote!! hayo ni maneno tu mliyozoea kuyasema.2 hours ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Benny Wissa*Yaani hawa jamaa wanakera@hasan mtinika@siwataki kabisa ccm@ccj+mafisadi mmetufanya watumwa ndani ya nchi yetuabout an hour ago*·*Like*·**1 person    [*][​IMG]


    Virginia West Mj*Kwa kauli zenu nyie wote mliocomment ni dhahiri kwamba mnampaka matope Nape kwa mambo ambayo hahusiki nayo kama nchi kuwa gizani etc etc.. Shida yetu watanzania tuna tabia ya ku generalize... Kama mtu fulani ana makosa fulani be bold, point...See More
    about an hour ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Virginia West Mj*‎@ Nape tunawaombea sana... Naamini with time tutafikia malengo!! God Bless u Broabout an hour ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Uhuru Tanganyika*Mmethubutu kufanya nini? na mmeweza kufanya nini? hizi siasa za kwenye vitumbua zina shida sana. maneno mengi wakati watanzania wanazidi kuwa kwenye umasikini wa kutupwa.about an hour ago*·*Like*·**[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242377562450331"]2 people[/URL]    [*][​IMG]


    Hassan Mtinika*virginia u dont knw wht u talkin abt,anaejigonga nan kati yetu na wewe??tulimuadd ili ujumbe umfikie kama hiv,acngekua frnd yetu tungefikish vp kilio chetu?? n case ya kupoint finger first jifunze kuelewa maana y TUMETHUBUTU,SIO NIMETHUBUTU he is nat talkn abt nape,au ndo unajiandalia makao mema??hahahaaaa msg sentabout an hour ago*·*Like


    [*][​IMG]


    Uhuru Tanganyika*Kwanza picha iliyo tumika ni ya kwenye msiba, sasa sijuwi wamesubutu kumkolimba jamaa ama vipi!!! Picha watu wanasononeka wewe unaweka siasa? huna hata chembe ya aibuabout an hour ago*·*Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242379379116816"]1 person[/URL][/I]    [*][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273905_593179237_3435167_q.jpg[/IMG]


    Virginia West Mj*Eeehhhh wamethubutu wao kama viongozi wetu, wewe umethubutu kipi jamani???? Kwa majungu hayo utathubutu nini?????? Kama ndio kufikisha ujumbe kwa majungu namna hiyo, haisaidii!!!!!!about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242379652450122"]2 people[/URL][/I][/COLOR]    [*][URL="http://www.facebook.com/manu.mziray"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/174443_523796465_5682329_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/manu.mziray"]Manu Mziray[/URL]*It is important to realize that Nape is not speaking on his behalf, he is here representing CCM, he is loyal to CCM, and he is living for CCM, this is the so called ruling party. A ruling party which is drawing us backwards instead of forwa...See More
    [COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242379779116776"]4 people[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002276100570"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/187630_100002276100570_1678801_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002276100570"]John Madeha[/URL]*Kaka Mtinika,pole sana ni bahati mbaya sana kuona tuna watu kam huyo dada yetu ,hata kama anajiandalia makao basi awe makini sana asije kufa pamoja na CCM,Maana hao wapo njiani kuelekea kibra na walahi hawatoki hata kwa kuchakachua,Nape is also on the way,ule ugomvi aloanzisha na Lowasa ndo kifo chake cha kisiasa,cjui ana back up gani huyo!time will tell![COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242379999116754"]5 people[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100001578403231"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/275547_100001578403231_4835643_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100001578403231"]Hassan Mtinika[/URL]*tafakar kabla ya kusema chochote kwenye social network,ucjegeuka kituko....hahaa!mi mpita njia tu jmn mungu atungazie badala ya tanesco!!hasubuhi njema!![COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242381715783249"]2 people[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000580359327"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/275932_100000580359327_1402442_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000580359327"]Benedict Mutobesya[/URL]*‎@Virginia west mj manung'uniko mengi ya watu ndo huleta hasira, umesoma profile ya Nape? hajizungumzii binafsi, ( sisiemu) so kupanda kwa bidhaa,gharama za maisha kuwa juu,tatizo la umeme, n.k, watu wanaona waliopewa madaraka ni kama wameshindwa kutimiza ndo wanaonyesha hisia zao kiivyo!! kwani unafikili yule mmanjinga wa TUNISIA ndo kilicholeta revolution? ilikuwa ni kama baruti yu dada.[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242381749116579"]3 people[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002252928598"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/274986_100002252928598_1607409_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002252928598"]Mohamed Saidi[/URL]*usiseme nape hauhusiki, yeye kawakilisha chama na viongozi wote wa chama, yeye km kama kiongozi afafanue kinagaubaga kauli yao wala asisite@virginia[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242381825783238"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273253_100002429920227_6789904_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"]Brian B Johnson[/URL]*MMETHUBUTU MMEWEZA NA MNASONGA MBELE KWA KUUA? MAANA HAPO NI MSIBANI HALAFU UNALETA MANENO YAKO YA KIPUUZ KAMA HAYO UNA MAANA GANI? WE NEPI UNA AKILI SAWASAWA? NDO TUSEME UMELOGWA AU UNAJITIA UWENDAWAZIMU? HUO NI UPUUZI.@NEPI NAUNYE[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242382402449847"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=1657874669"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/275498_1657874669_8029901_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=1657874669"]Saphy Elton[/URL]*‎@Virginia respect mawazo ya watu who said unamuadd mtu ili umpake mafuta kwa mgongo wa chupa? kwenye ukweli let people say... I doubt kama uko Tz na unaona yanayoendelea,, angesema amethubutu sawa but tume that means many ye kagenerelize,, by the way hiyo ni kauli mbiu ya 50years za uhuru then tunashangaa what specifically walichofanya...[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242382849116469"]2 people[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=1300632043"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/41394_1300632043_2855_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=1300632043"]Menley Mgata[/URL]*Nape yuko sahihi CCM imethubutu kusema wazi wazi wale wote walioshutumiwa kwamba mafisadi wajivue gamba na magamba yameanza kuvuliwa.Na sikubaliani na wale wanaosema kwamba Ugomvi aliouanzisha na Lowasa ndio kifo chake hiyo ni ngumu kwa sab...See More
    [COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273905_593179237_3435167_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"]Virginia West Mj[/URL]*Asubuhi Njema na wewe kaka yangu Hassan!!![COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273253_100002429920227_6789904_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"]Brian B Johnson[/URL]*HAYA NA WEWE MPIGA DEKI WA PALE LUMUMBA UNATETEA NINI HAPO? UNAJUA NI KWA NINI WATZ WAMEANDIKA YOTE HAYO? AU NA WEWE NDO UNAJIWEKA KARIBU ILI UHONGWE CHEO? ACHA UMALAYA WEWE BINTI. NYAMBAFUUU@VIRGINIA[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000580359327"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/275932_100000580359327_1402442_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000580359327"]Benedict Mutobesya[/URL]*r yhu in tz? @Virginia[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273253_100002429920227_6789904_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"]Brian B Johnson[/URL]*UTHUBUTU WA CCM BADO HAUJAONEKANA HATA KIDOGO BECAUSE STILL WANAKUMBATIA MAFISADI NDANI YA CHAMA.. KAZI BADO NI NGUMU ZAIDI YA NAPE ANAVYOJIPA MOYO.[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273905_593179237_3435167_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"]Virginia West Mj[/URL]*‎@Benedict, niko Jomo Kenyatta Airport naelekea Dubai in 35mins time[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273905_593179237_3435167_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"]Virginia West Mj[/URL]*Jamani Brian mbona kupiga deki ni kazi yangu ya kila siku mimi kama mwanamke? Nashukuru kwa matusi, wote walioko pale Mirembe walianza hivyo hivyo kama wewe kaka yangu!!! Ubarikiwe[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/260983_100001810226603_3660957_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"]Furaha Mwakalebela[/URL]*‎@mgata.CCM haina kitu kwa sasa kila mtanzania analia labda wenye manufaa na ccm kama wewe na NAPE ndo hamlii au CCM wamekuahidi cheo ndugu yangu au unataka nape aone comment yako.ukweli utabaki kuwa CCM wameharibu nchi hata hii migogoro ni yao kwani wangefanya vizuri kuna mtanzania angekuwa mpinzani.TO SOLVE THE ONE LET CCM DIE FIRST acha tujaribu pengine bwana[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242386222449465"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/260983_100001810226603_3660957_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"]Furaha Mwakalebela[/URL]*‎@mgata.CCM haina kitu kwa sasa kila mtanzania analia labda wenye manufaa na ccm kama wewe na NAPE ndo hamlii au CCM wamekuahidi cheo ndugu yangu au unataka nape aone comment yako.ukweli utabaki kuwa CCM wameharibu nchi hata hii migogoro ni yao kwani wangefanya vizuri kuna mtanzania angekuwa mpinzani.TO SOLVE THE ONE LET CCM DIE FIRST acha tujaribu pengine bwana[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242386409116113"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000580359327"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/275932_100000580359327_1402442_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000580359327"]Benedict Mutobesya[/URL]*Ndo maana tupe pole wanzako!! malalamiko ya watu si bure!! labda coment zako ni kutokana na hali yako ya maisha labda na interest zako sisiemu. nayaeshimu maoni yako.[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/260983_100001810226603_3660957_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"]Furaha Mwakalebela[/URL]*‎@mgata.CCM haina kitu kwa sasa kila mtanzania analia labda wenye manufaa na ccm kama wewe na NAPE ndo hamlii au CCM wamekuahidi cheo ndugu yangu au unataka nape aone comment yako.ukweli utabaki kuwa CCM wameharibu nchi hata hii migogoro ni yao kwani wangefanya vizuri kuna mtanzania angekuwa mpinzani.TO SOLVE THE ONE LET CCM DIE FIRST acha tujaribu pengine bwana[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/260983_100001810226603_3660957_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"]Furaha Mwakalebela[/URL]*‎@mgata.CCM haina kitu kwa sasa kila mtanzania analia labda wenye manufaa na ccm kama wewe na NAPE ndo hamlii au CCM wamekuahidi cheo ndugu yangu au unataka nape aone comment yako.ukweli utabaki kuwa CCM wameharibu nchi hata hii migogoro ni yao kwani wangefanya vizuri kuna mtanzania angekuwa mpinzani.TO SOLVE THE ONE LET CCM DIE FIRST acha tujaribu pengine bwana[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/260983_100001810226603_3660957_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/furaha.mwakalebela"]Furaha Mwakalebela[/URL]*‎@mgata.CCM haina kitu kwa sasa kila mtanzania analia labda wenye manufaa na ccm kama wewe na NAPE ndo hamlii au CCM wamekuahidi cheo ndugu yangu au unataka nape aone comment yako.ukweli utabaki kuwa CCM wameharibu nchi hata hii migogoro ni yao kwani wangefanya vizuri kuna mtanzania angekuwa mpinzani.TO SOLVE THE ONE LET CCM DIE FIRST acha tujaribu pengine bwana[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/nicasm"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/203388_100001896272261_5409015_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/nicasm"]Nicas Bravo Mtey[/URL]*sasa hli baraza lnaanza kuchafuka. Jamani 2jitahd kuzuia hasira ze2 wajameni. Najua inaboa bt kuvumiliana ni jambo jema. Lugha hzo si nzur ndugu zanguni...dada virginia watu wana hasira sana.@all[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242387359116018"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/chege.kilahala"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/186624_100000594549236_2424033_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/chege.kilahala"]Chege Kilahala[/URL]*brian anaonyesha jinsi alivyona upeo mdogo! kila mtu ana haki ya kutoa opinion na sio lazima ifanane au ikubaliane na ya kwako! thats democracy. pole virginia![COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242388202449267"]2 people[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/jngoja"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/276084_1061625211_2048487_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/jngoja"]Jose Ngoja[/URL]*Mzee usituangushe katika nafasi yako jitaidi kufanya kazi vyema na kwa maadili, ukiona umechemka rudi katika azimio la arusha sawa BABA mimi nitakulinda kwenya nafasi yako katika jimbo lako[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/chege.kilahala"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/186624_100000594549236_2424033_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/chege.kilahala"]Chege Kilahala[/URL]*brian is intellectually bankrupt! ukitoa hoja, toa hoja na itetee hoja yako sio kutoa matusi. kwangu mimi hiyo ni intellectual bankruptcy![COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242389599115794"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002126993285"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/276251_100002126993285_4115951_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002126993285"]Vitalis Kisandu[/URL]*Napita tu jamani,ila kama Nape alikuwa anatafuta data za kufanya research yake,amezipata kwa wingi sana.Mungu awabariki wewe na Timu yako mlio katika kampeni za kujivua Magamba na kubaki na sumu mwilini.[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100001578403231"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/275547_100001578403231_4835643_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100001578403231"]Hassan Mtinika[/URL]*but virginia hizi ni changmoto za siasa za tz,kila mmoja ana hki ya kuexpress kile nachohis ni sahihi......idea ni kusong mbele kuhakikisha sote tunafika tunotaka kufika kama taifa coz tz ni yetu sote,sote tuwe walinz wa rasilimali zetu ili zitunufaishe wote na c tabaka dogo kisasa!![COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242390752449012"]2 people[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273253_100002429920227_6789904_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"]Brian B Johnson[/URL]*KUMBE NA WEWE VIRGINIA UKO KAMA RAISI WENU? NDO MAANA HAMYAJUI YANAYOTOKEA NCHNI KWA SABABU HAMUISHI HAPA TZ... NDO USHAPEWA OFA HVYO SO NDO UNATANGULIA?@VIRGINIA.[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273253_100002429920227_6789904_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"]Brian B Johnson[/URL]*WEWE CHEGE ACHA KUJIPENDEKEZA OVYO.. WE MWENYEWE UMEPGIKA HALAFU UNAKUJA HAPA KUONGEA UPUPU WAKO USIO NA MAANA. AU NDO UNATAKA UMAARUFU? UPUUZI HUO.@CHEGE KILAHALA.[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000725765751"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/49624_100000725765751_1004_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000725765751"]Kaka Gano[/URL]*‎[URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100000342668655"]Nape Nnauye[/URL], fafanua tafadhali[COLOR=#808080]about an hour ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273253_100002429920227_6789904_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"]Brian B Johnson[/URL]*WEWE MWENYE UPEO MKUBWA UMECHANGIA NINI CHA MAANA HUMU? HAYO MAGAMBA NDO YAMEGANDA HADI KWENYE UBONGO? WATU TUSHACHOKA NA HUU UPUUZ WA NAPE NA HIKI CHAMA CHA MAGAMBA.>>CHEGE KILAHALA[COLOR=#808080]57 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273905_593179237_3435167_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"]Virginia West Mj[/URL]*‎@Chege nashukuru kwa kunielewa!! Brian nimeelewa tatizo lake na nimemsamehe!! @Nicas ur very right, barazi hili limeshachafuliwa na hao wachache ambao kwa kweli nimependa Chege alivyogundua kwamba they are intellectually bankrupt!!!

    Tuendelee na shughuli za kujenga taifa, na wale niliowachefua jamani poleni! It is how I really feel![COLOR=#808080]57 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242392525782168"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/chege.kilahala"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/186624_100000594549236_2424033_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/chege.kilahala"]Chege Kilahala[/URL]*sasa hapo ndio umesema nini brian?! ni hoja hiyo?! uwezo wako wa kudebate issue una-belong kwenye vijiwe sio hapa unajua![COLOR=#808080]54 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/Zeddylicious"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/261044_100000621670842_6321969_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/Zeddylicious"]Queeny Zay Mselemu[/URL]*magamba yajivue[COLOR=#808080]53 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002411247583"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/174517_100002411247583_2132028_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002411247583"]Patrick Anthony[/URL]*Nimtazamo tu na ideal achivements. Miaka 50 ya uhuru 2naomba chumvi kwa jiran! Cyo kwamba 2mesahau kununua bali our ecomic status z shaky. Bwana ctil ccm haz a lot 2 offer bt with their changed attitudes towards problemz facing their subjects!![COLOR=#808080]44 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273905_593179237_3435167_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=593179237"]Virginia West Mj[/URL]*‎@Brian, kwa lugha yako chafu yani umedharaulika sana hapa, ushauri wa bure, jaribu kutumia lugha njema! Hamna mchango uliotoa hapa zaidi ya kutukana!!! Hivi hata kusafiri ni dhambi?? Unajua sababu inayonifanya kuwa safarini sasa?? Haya ni*...See More
    [COLOR=#808080]34 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242397642448323"]2 people[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002272787674"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/static-ak/rsrc.php/v1/yo/r/UlIqmHJn-SK.gif[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002272787674"]Yohana Igenge Yohana[/URL]*Wamethubutu kwa kutuibia mali zetu, na wanasonga mbele kwa kuendelea kudhalisha mafisadi wengine kina ngereja, malima na jairo kwa kuendelea kuwakumbatia hilo tu ndo tumefanikiwa , na bila kusahau kugawa giza badala ya kugawa umeme.[COLOR=#808080]34 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/273253_100002429920227_6789904_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002429920227"]Brian B Johnson[/URL]*KUJIPENDEKEZA KWANGU MWKO. . WAMETHUBUTU NINI WAKATI TAIFA LIPO GIZANI? VIWANDA VNAFUNGWA, WATU WANAKOSA AJIRA KWA SABABU YA UMEME.[COLOR=#808080]27 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/kenny.elmaamir"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/275101_100000520577120_7754224_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/kenny.elmaamir"]Kenny El-maamir[/URL]*Mhe nakuomba uwe makini kidogo kwenye hotuba zako, angalia zisije tuletea taabu kwa wananchi, pale unapotuma makombora mazito, ili kuuwa kunguru, matokeo yake kunguru analikwepa, kombora linaangukia kwenye vyanzo vya maji na kuua rai wasio...See More
    [COLOR=#808080]22 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242400335781387"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/henry.kilewo"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/49055_100000757714649_7422_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/henry.kilewo"]Henry Kilewo[/URL]*darkness cannot drive out darkness, it only lighty: hamna ubavu huwo[COLOR=#808080]20 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like*·*[I]*[URL="http://www.facebook.com/browse/?type=likes&id=242400852448002"]1 person[/URL][/I][/COLOR][/COLOR]


    [I]
    [*][URL="http://www.facebook.com/nicasm"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/203388_100001896272261_5409015_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/nicasm"]Nicas Bravo Mtey[/URL]*duh! Mimi simo. Hapafai tena hapa.[COLOR=#808080]20 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002272787674"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/static-ak/rsrc.php/v1/yo/r/UlIqmHJn-SK.gif[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002272787674"]Yohana Igenge Yohana[/URL]*‎@mgata hvi wewe una akili timamu? Unasema ccm imewasema mafisadi kwa kuwataja? Na wasiwasi kama huwa unauwezo wa kufatilia mambo ya nchi hii pengine uko ulaya na siyo tanzania. Mafisadi wametamkwa pale mwembe yanga na viongozi wa chadema h...See More
    [COLOR=#808080]17 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100001594354243"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/70931_100001594354243_2067868_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100001594354243"]Novatus Kambota[/URL]*Nape acha maneno yako kaka CCM ina matatizo makubwa kushinda unavyotaka watu waamini, wewe fanya kazi siyo tambo[COLOR=#808080]10 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002272787674"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/static-ak/rsrc.php/v1/yo/r/UlIqmHJn-SK.gif[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100002272787674"]Yohana Igenge Yohana[/URL]*‎@virginia west, uende ukawahadae mapunguani wenzio siyo sisi nyinyi ndo watu mnaonufaika na mfumo uliopo najalibu sana kuangalia watu kama nyie hamfai kabisa maana mna lenu jambo, hamna uchungu na uzalendo kwa taifa letu. Shujaa huwa anapi...See More
    [COLOR=#808080]8 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [*][URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100001561720948"][IMG]http://profile.ak.fbcdn.net/hprofile-ak-snc4/211539_100001561720948_5055570_q.jpg[/IMG][/URL][URL="http://www.facebook.com/?ref=home#"][/URL]


    [URL="http://www.facebook.com/profile.php?id=100001561720948"]Lutengano Mwakisopile[/URL]*Safi sana![COLOR=#808080]8 minutes ago*·*[COLOR=#808080]Like[/COLOR][/COLOR]


    [/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I]

   [I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I]
  [I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I][/I]
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,855
  Trophy Points: 280
  sasa hivi nimeamini maneno ya Rev Masa... Kuwa changes and revolution is coming.but sijajua hawa wanaoendelea kuipigia ccm makofi ni kina nani? Wana haki gani? Lkama mambo yao safi kwa nini wasije huku mitandaoni tupambane? Au ndio hata access ya net hawana? Vitenge vya kanga vimewatosha..
   
 3. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Nape tunakusubiri arusha kwa hamu sana ila uje na yale majibu yetu kwenye post niliyo post jana la sivyo nakuonea huruma.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,139
  Trophy Points: 280
  Mmh afadhali
   
 5. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  I hate CCM! sorry for The CCM members.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nape amekimbia JF ... sasa ameenda kuchafua hali ya hewa FB ..... watanzania wa sasa sio viazi wanauelewa mpana na huwezi waburuza kwa siasa za kipuuzi
   
 7. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Sasa kama ccm mnapigwa kwenye mitandao yote tena na watu ambao nirafiki zenu, bado mnamoyo wakuwaongoza watz waliyo wakataa? mtasema fb ni chadema? no watu wataka mabadiliko na sipropaganda za kukiponyesha chama.
   
 8. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  siku zote mtu anayesimamia ukweli na haki hawezi kuipenda ccm.
   
 9. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Hana majibu huyo, atakupotezea wakati buree kumfikiria!!
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kuna watu walikuwa wanambishia rev nadhani wameisoma kimoyomoyo..
  naomba tu isiwe ya kwenye mitandao ya kijamii tu na ifanyiwe kazi..
   
 11. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Yeah, I came to Discover that most Intellectuals Hate CCM.

  I wonder what is wrong with the few intellectuals here who supports this party.

  kwanini lakini binadamu tunajichimbia makaburi wenyewe?
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  anachofanya nape ni kueneza ujumbe na kula kodi yetu kichama jamaa amefanikiwa lakini kihali halisi jamaa anaichimbia kaburi Chama Chetu Mafisadi..
   
 13. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  kwenye mitandao yote hamna mtu anayepoteza time kuisifia ccm kwa upuuzi. *wanaofanya hivyo ujue wanalipwa kwa mf gazeti la mtanzania lilikuwa na mkataba na ccm, mkataba ulipoisha likaanza kuandika ukweli japokuwa wengi twaweza sema ni kwasababu rostam alisakamwa na ccm wenyewe, basi rostam asingekubali ziandikwe habari za chadema kwakuwa chadema ndiyo tuliyomtolea uvivu. UKWELI NA HAKI HAVIJAWAHI KUSHINDWA.
   
 14. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,269
  Trophy Points: 280
  I is happy...
   
 15. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  jamani hivi ccm mnagoja nini msitupe nchi yetu? maana sasa kila mahala watu wanawakataa. kiukweli ccm sasa mmekosa mvuto you better go.....
   
 16. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nape kila kukicha unaongeza idadi ya maadui wako kupitia
  1. Uongo wako na sera mbovu
  2. Maisha magumu kwa watz wakati wewe unaleta utani
  3. Umeme na sera ovyo za serikali hasa wizara ya nishati na madini
  4. Wananchi hawapati huduma bora mfano afya, maji, elimu
  Badala ya kuadress matatizo haya mtayatatuaje wewe unaelekeza nguvu kupambana na upinzani..
   
 17. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  mfa maji haishi kutapatapa hawajui walitendalo ndiyo maana sasa wamekuwa wehu, kila siku nawao hulalamika wakati wamepewa dhamana ya kuliongoza taifa wanashindwa kutupa hope.
   
 18. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wameweza nini?
   
 19. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nape ishia huko huko Facebook na ukilaza wako upo CCM kutafuta kula,usijaribu kuitakasa CCM maana utazidi kuwaongezea kichefuchefu watanzania..ali mradi mkono unaenda kinywani...keep quiet!!
   
 20. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #20
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  • achen majungu as if hao mnaowaunga mkono hawakosei kuen kama wa2 mlioelmka kdogo co kuponda 2 kla unapopata nafasi ya kuponda46 minutes ago*·*Like

  • [​IMG]Henry Kilewo*‎@kassim: kitu gani ambacho kimekuuma ambacho watu wameponda? yaani ccm kututia gizani ni majungu? ccm kuiba fedha zetu ni majungu? ccm kutoa ahadi hewa ni majungu? tafakari kwanza.43 minutes ago*·*Like*·**2 people   [*][​IMG]


   Novatus Kambota*‎@Kaasim yaelekea umemezwa na umajinuni wa ushabiki wa kimkumbo ndiyo maana hata ushauri unaita kuponda ebu kajipange ndiyo uje na porojo na hoja zako dhaifu hizo39 minutes ago*·*Unlike*·**1 person   [*][​IMG]


   Adrian Herack Marandu*‎@nape me thubutu nini?au mume weza nini?hebu fafanua.cos maneno tu ya kutukejeli haya saidi.24 minutes ago*·*Like


   [*][​IMG]


   Ludovic Rigongo*Kwa kuidumaza, kuifilisi, kuifisadi ardhi yetu tukufu aaha! Hapo tu mmethubutu, mmeweza na mnasonga mbele.3 minutes ago*·*Like


   [*][​IMG]


   Shaban Mbegu*cha msingi ni kutokuwa kuwa muoga katika utekelezaji wa kila kitu, utafanikiwa katika kuthubutu, kuweza na kusonga mbele.

   
Loading...