Violet Mzindakaya mwepeeeeesi



Du, hii jamani ni kali ya mwaka. Kumbe huyu jamaa alikuwa kiboko hivi? Hivi ngoja nikuulize; huyu Mzindakaya na Steven Spielberg yule director wa suspense/horror movies wa marekani nani zaidi katika masuala ya science fiction? Kama kweli Mzindakaya alifanya haya uyasemayo inabidi apewe tuzo ya Academy ya Oscar kwa kufanya vitu vya ukweli hadharani. Dah, hii kali!
 
Hivi huyu Binti si ndo baba yake kakatalia bwawa wananchi wasitumie kule sumbawanga!

Ndo huyo huyo! Umegonga kunako ukweli.
Ana historia ya kuzirai baada ya kukosa kura. Msameheni bure tu
 
Ni sawa kila mahali (nchi) duniani hapa wana matatizo na shida zao. Lakini je, kwa kuwa dunia nzima wana hali ngumu wote hao wamenyamaza kimya tuu; hawachukui hatua za kutatua? Je, sababu ya hali yao ngumu ni sawa na sababu za sisi Tz? Hao wengine wana hali ngumu lakini wanachukua hatua kukabiliana nayo; ndio maana leo hii kuna nchi kama Malasia, Dubai, China, Korea, Rwanda, nk ambao walikuwa maskini kuliko sisi lakini walichukua hatua leo hii Viongozi wa CCM na vyama vingine wanawatolea mfano.
By the way; hivi Violete Mzindakaya anajua nini kuhusu ugumu wa maisha ya waTz? Anajua bei ya sembe iliyopo sokoni leo? Nani katika familia yake amawahi kukalia tofali akiwa shuleni? Nani kati ya watoto wa baba yake (Mzee Mzindakaya) amewahi kumwagiwa maji ya ***** akiandamana kudai fedha ya mkopo akiwa chuo kikuu? Nani kwao alikufa kwa kukosa sh.2000 kwa ajili y daftari/ kumuona daktari au kupima malaria katika hospitali hapa Tz?
Nawashauri wanaokwenda kumsikiliza waende kwa wingi, akiwakodia basi pandeni, wakigawa 5000/ 5000/ pokeeni tu; si vibaya kwa sisi walala macho kupata pa kwenda kupumzikia maana hakuna pa kwenda (nyumba zote za starehe wamejaa wao) viwanja vya michezo wamjijengea mahekalu!
Enhne! Nilisahau nawahimiza mwende ili muone wanavyojikanyaga (si mnakumbuka wehu wa jumamosi jangwani a.ka. CHADEMA square)!
 
HIVI WEWE DOGO TANGU UNATAMBAA UMO JF EEEEH HAHAHA
 
Rest In Peace Violet, lufu halujui vidole juu na mipasho!
 
Aisee duniani huku akiba ya maneno inahitajika sana!

Kiburi cha uzima Ndio hutusahaulisha na kuwadhihaki wenzetu.....

RIP violet
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…