PreGE2025 Viola Mtetezi, asema anatiki Oktoba uchaguzi mkuu 2025

PreGE2025 Viola Mtetezi, asema anatiki Oktoba uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Countdown to October, msimu wa hela za bwerere, ubunifu unahitaji kumvutia mtoaji.
 
Wana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !

Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini.

Mwisho ni haki yake kuchagua upande wa kisiasa, wala tusihukumu hiari yake !


Hii shape sio mchezo
 

Attachments

  • 20250625_160316.jpg
    20250625_160316.jpg
    123.3 KB · Views: 10
Wale kina Agather wa Uganda na Mwangi wa Kenya ni mashujaa


No reform No Election
Jambo kubwa, ni lazima tukubali kwamba, wa-Tanzania si wa-Kenya na ndipo Wanaharakati au Wanasiasa wa nchi yetu watafakari upya namna ya kutimiza ndoto zao.
 
Ukubwa wa Chadema unazidi kuonekana. Ingelikuwa si Chadema wala asingejulikana huyo k.
 
Huko CHADEMA huwa hakuna intelijensia ya kuona vitu vya kipuuzi puuzi kama hivi wanavyo vipa kiki bila kujua??, kuna dada mwingine naona wana mfront ila hata kabala ya mwezi wa saba kuisha atakuwa kaisha waachia manyoya???!!
 
Back
Top Bottom