PreGE2025 Viola Mtetezi, asema anatiki Oktoba uchaguzi mkuu 2025

PreGE2025 Viola Mtetezi, asema anatiki Oktoba uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama hakuwa Mamluki wa CCM ndani ya CDM,huenda ameonywa na kutishwa juu ya NRNE!
 
Huyu juzi akiwa amevaa t-shirt yenye maandishi ya NRNE alisema anatafutwa kwa udi na uvumba na watekaji kwa sababu ya msimamo wake.

Pengine hii u-turn ni gharama ya kununua uhuru, usalama na uhai wake ili wasi - Mdude
Hili nalo ni neno la kutafakari !
 
kodi yako inatumika kununua umaaruf , ww unaona sw tu
Mkumbushe deni linasomeka
1000214658.jpg
 
Alikuwa anatafuta attention kwa chama ca ccm ameshaipata na hapo alikuwa kafungiwa sehem kapewa kibunda ...ndo namna ya kutafuta chambi kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu
Acha udwanzi, kwamba kila anayeiunga mkono CCM kapewa kibunda? Siasa za kipuuzi hizo
 
Kashapata viewers
Violeti katokea from no
Where huyoooo
Kawa mtetezi 😄 mara Oct ana tiki

Ova

Hata kabla ya kuingia kwenye siasa hivi karibuni, tayari alikuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali; na ndio maana ikawa rahisi, kukumbatiwa na wanaharakati au wanasiasa kwa lengo la kumtumia kufikisha ujumbe wao kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii.
 
Attachments

  • 20250625_220441.jpg
    20250625_220441.jpg
    216.5 KB · Views: 10
Acha udwanzi, kwamba kila anayeiunga mkono CCM kapewa kibunda? Siasa za kipuuzi hizo
Nafikir unaelewa sema kwa vile umevaa uchama haya unajifanya huelew...haiwezekan mtu wik moja nyuma alikuwa anasimamia hiki..from knw whr tu abadilike bila sababu maalum....ni aidha kapewe kibunda au kuna shinikizo kubwa nyuma yake ...
 
Kwa kila tukio, kuna la kujifunza kwa mtu makini. Tazama tena video clip yake uenda utagundua kitu katika tukio hili !
 
Kwa kila tukio, kuna la kujifunza kwa mtu makini. Tazama tena video clip yake uenda utagundua kitu katika tukio hili !
Kwa uelewa wako unadhan kaja na hiz content z ccm kwa kuvutiwa na hicho chama?muda wote huo hivyo vitu ambayo vimemfanya ahamie huko vilikuwa wap hadi ije itokee tu withn short period of time....ni haya haya ya kununua tu wanasiasa kama kina msigwa ndo yanaendelea...natives wa ccm ss hiv wamekuwa wanaimba mapambio tu kama wewe...ila wa kuja ndo wanapewa shavu...we msifie kwa sasa hiv cz ana contents za kukisifia chama bt jua anakula kilichonona...nyie mnatupiwa tu masazo
 
Back
Top Bottom