connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,775
- 3,842
Viola ana bills za kulipa
GSM anaharibu Ligi.Ohooo
Huyu juzi akiwa amevaa t-shirt yenye maandishi ya NRNE alisema anatafutwa kwa udi na uvumba na watekaji kwa sababu ya msimamo wake.Viola Mtetezi, asema anatiki Oktoba uchaguzi mkuu 2025
Malaya mmoja hivi alijitia uanaharakatiNdio nani huyu
Viola si ni Bint wa Kike kabisa huyu au!? Ana impact gani mpk mumtungie uzi mrefu hivi?Wana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !
Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini.
Mwisho ni haki yake kuchagua upande wa kisiasa, wala tusihukumu hiari yake !
Apewe ahsante yake, kahamasisha na kuvutia wengi na Kama kawaida hata baada ya kugeuza msimamo, kawaacha wengi. Kuna wengi wamebaki na msimamo hata Kama yeye kabadili msimamo. Apewe ahsante yake.hahahaaaaa MPUMBAVU huyu katema bungo kaogopa kuwa mdude namba mbili katiwa kidole kimoja tu kabadirika shenzi kabisa alikuwa anapima maji?
Mpe hiyo Asante weweApewe ahsante yake, kahamasisha na kuvutia wengi na Kama kawaida hata baada ya kugeuza msimamo, kawaacha wengi. Kuna wengi wamebaki na msimamo hata Kama yeye kabadili msimamo. Apewe ahsante yake.
Kabadilika Thailand duuhAlikuwa anatafuta attention kwa chama ca ccm ameshaipata na hapo alikuwa kafungiwa sehem kapewa kibunda ...ndo namna ya kutafuta chambi kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu
Aisee kulikoniWana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !
Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini.
Mwisho ni haki yake kuchagua upande wa kisiasa, wala tusihukumu hiari yake !
Kama ulivyo malaya wewe?Malaya tu huyu
ASha lipwa zakeWana harakati wa #NoReforms_NoElection hili la VIOLA MTETEZI kugeuka ghafla baada ya tetesi fulani, kwa ujumla limewakwaza na kuleta maoni mbalimbali !
Ni nimeona video clip uko Facebook kwenye ukurasa wake bila shaka akisema hayo baada ya kutoka safarini.
Mwisho ni haki yake kuchagua upande wa kisiasa, wala tusihukumu hiari yake !
kodi yako inatumika kununua umaaruf , ww unaona sw tuHuko CHADEMA huwa hakuna intelijensia ya kuona vitu vya kipuuzi puuzi kama hivi wanavyo vipa kiki bila kujua??, kuna dada mwingine naona wana mfront ila hata kabala ya mwezi wa saba kuisha atakuwa kaisha waachia manyoya???!!