Vinywaji vinavyochochea kufanya mapenzi!!

Vinywaji vinavyochochea kufanya mapenzi!!

Mangure , busa na Wanzuki bila kusahau kiunguza ini piwa..
 
chai ya majani ya bangi gongo namba one na wanzuki kama chupa mbili hivi...mwemweleeeeee..!!!!
 
Vinywaji vyote vyenye alcohol vinachochea suala zima la kufanya ngono hasa hasa kwa wanawake.
 
Habari zenu wana-MMU,.

Mimi binafsi ninapotumia Konyagi na kuchanganya na soda ya Sprite hamu ya kufanya mapenzi huwa inanijia kwa kasi sana,.

Je wewe ni kinywaji gani hasa unapokitumia kinakupelekea kupata hamu ya kufanya mapenzi;..

Kuna mtu alinambia ukinywa bavaria unakua na kasi ya ajabu japo mie sio mdau wa uzinzi. Nimesikia tu
 
1383594919659.jpg
 
Back
Top Bottom