Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 736
Pombe ndio mama wa maasi yote ukishakunywa chochote waweza fanya
Mm mchuzi wa pweza ndio inapandisha mzuka
Mm mchuzi wa pweza ndio inapandisha mzuka
Usingechangia hii thread ningekunywa sumu.
Mafirauni bwana........!!! Hii mada ilishagazungumzwa siku nyingi sana humu... Hebu fukua fukua utaipata... Then twenzetuni juu la siasa jule kwanza tukapasue kichwa
What do u always think about....