Vinywaji vinavyochochea kufanya mapenzi!!

Vinywaji vinavyochochea kufanya mapenzi!!

usipotumia inakuaje....vijana wa siku hizi bana....sijui nguvu zinaenda wapi
 
Mi nikinywa denda a.k.a mate hupandwa na mshawasha wa kungonoka!
 
Habari zenu wana-MMU,.

Mimi binafsi ninapotumia Konyagi na kuchanganya na soda ya Sprite hamu ya kufanya mapenzi huwa inanijia kwa kasi sana,.

Je wewe ni kinywaji gani hasa unapokitumia kinakupelekea kupata hamu ya kufanya mapenzi;..

pombe kali!!ngoja kaumri kasogee utakuwa unaweka mkono kusikilizia joto lake konyagi itakuwa ishaua nguvu
 
Mafirauni bwana........!!! Hii mada ilishagazungumzwa siku nyingi sana humu... Hebu fukua fukua utaipata... Then twenzetuni juu la siasa jule kwanza tukapasue kichwa
Huko nenda mwenyewe maana ni full stress kule.
 
Konyag nakunywa pale napotaka kukata pombe....km nimekunywa beer
 
Back
Top Bottom