we mzee vipi unaanza kutoa siri ya dawa yangu eee ila umesahau vitu hapo pilipili iwe pilipili kichaa nusu kilo, tango mwitu, na mgagani fungu mbili, ongezea kama kuna kitu nimesahau maana uzee nao kazi kwelikweli
bila kusahau na maji ya betri robo lita mkuu
Reply With Quote