Vinywaji vinavyochochea kufanya mapenzi!!

sasa hamu kuja hadi uinywee konyagi na sprite? WAHI HOSPITALI UNA SHIDA!lol!
 
chukua ukwaju kilo moja loweka kwenye maji lita tatu then tengemeza juice kunywa glass mbili kabla ya tendo utaona kitu inaweza nyanyua hata jiwe la kilo mbili, ukwaju si mchezo bwana nb kunywa saa moja kabla ya tendo.
 
Changanya maji ya mti wa Muarobaini, weka pili pili kidogo halafu changanya na vitunguu swaum vilivyo pondwapondwa. Then viweke vikae siku kama 3 hivi. Mwite mpenzi wako akae karibu, then kunywa lita 3 za juice hiyo utaona nguvu yake.
 
Mnhhh........ Kweli hii dawa.
 
we mzee vipi unaanza kutoa siri ya dawa yangu eee ila umesahau vitu hapo pilipili iwe pilipili kichaa nusu kilo, tango mwitu, na mgagani fungu mbili, ongezea kama kuna kitu nimesahau maana uzee nao kazi kwelikweli
Changanya maji ya mti wa Muarobaini, weka pili pili kidogo halafu changanya na vitunguu swaum vilivyo pondwapondwa. Then viweke vikae siku kama 3 hivi. Mwite mpenzi wako akae karibu, then kunywa lita 3 za juice hiyo utaona nguvu yake.
 
mi vivazi tu............
picha dm.jpg
 
Habari zenu wana-MMU,.

Mimi binafsi ninapotumia Konyagi na kuchanganya na soda ya Sprite hamu ya kufanya mapenzi huwa inanijia kwa kasi sana,.

Je wewe ni kinywaji gani hasa unapokitumia kinakupelekea kupata hamu ya kufanya mapenzi;..

Mimi sinywi pombe, GENYE zipo all the time. Mwendo mdundo.
 
Habari zenu wana-MMU,.

Mimi binafsi ninapotumia Konyagi na kuchanganya na soda ya Sprite hamu ya kufanya mapenzi huwa inanijia kwa kasi sana,.

Je wewe ni kinywaji gani hasa unapokitumia kinakupelekea kupata hamu ya kufanya mapenzi;..

Supu ya pweza!
 
Back
Top Bottom