Vingi v

Sasa kibololo teh au ndo jamii ya kisusio? Btw, niko survey, njoo basi!

mweh siku hidhi usafiri wa huku kwetu tabu tupu,lini unarudisha majeshi rasmi.
 
Ina maana wewe huvijui? Mbona utamu wa Kinu umenisukumia mimi niujibu?

Kwa kusoma Historia ya Samson na Delila, hiki Kinu utamu wake si wa kawaida. Ngoja nifuate nyuki, Jumamosi naweza kung'atwa.

hao nyuki unawafuata wapi thatha.
 
Wengine hata humu JF wamo ila wa JF sijawahi wafuata kwa sababu nasikia Wakichina wengi.

Unaweza kufuata kumbe NYUKI mwenyewe ni Bwabwa, Astakafulilah.

Hapo Sikonge Hospital, wale Manesi balaa sana kwa mdudu. Ngoja niwasake watoto wa Kiarabu weekend hii hapa SIKONGE na nikikwama, kwenye Mnuso jioni wanapatikana Kuku wa Kienyeji. Karibu sana ujumuike na sisi hapa kwetu.
hao nyuki unawafuata wapi thatha.
 
kama kema kima koma k*ma
 

huo mji sijawahi fikiria kufika huwa napita tu,anyway one day ntakuja kutembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…