Ving'amuzi vya Continental kumbe hovyo kabisa!!

Ving'amuzi vya Continental kumbe hovyo kabisa!!

Mkuu siungepeleka huu uzi jukwaa la biashara.
 
TCRA bado wamelala maana c continental tu nadhani ukiacha star times wengine wote usipolipa hauoni hata chaneli moja
 
Hilo tangazo la continental nikisikia redioni au kwenye tv nabadilisha hapohapo
 
Kipindi naona/kusikia tangazo la continental decoder nilidhani kuwa ni king'amzi kizuri kumbe hovyo

Yaani hawana channel free wao wanajali mpunga

Hawaboreshi vifaa vyao

Inaonesha mchelemchele

Pia wana channel za ovyo

Hawa jamaa hata page wameshindwa kuweka
Zamani walikuwa wameweka page fb wakaikimbia kwa wingi wa maswali ya wateja

Kusema ukweli hawa jamaa inabidi wachunguzwe na tcra
maana ishakuwa taabu.
 
wamekwisha sahv njaa tu hawa na badooooo wataisoma namba wenyewe mwanzo walikuja na mambo ya bureeee kumbe wanatuhadaaaaaa
sahivi wamekwisha hawana hata bondi mjini
khAaaaaa wajitafute wasitafute mchawi
wamejiroga wenyewe
 
yaan tcra hamfai kabisa vingamuzi uchwara vinapaswa Kupigw vita
 
Mwanzoni walikuja wakatwambia kwamba Decorder yao haina cha kulipia .Leo hii wanatundanganya
 
Kwani ile live coverage ya mikutano ya kampeni wamelipwa au nao wanaisoma namba?

Ha ha haaa.... Just a Joke.
 
Jamani bure gharama kuliko bure yenyewe. Wengi walinunua kisa hakikuwa na malipo ya mwezi
 
Unaanzaje nunua kontinental na digitek..!!??
 
Rejeeni Kichwa cha Habari:
imekuwa ni kero Mtu unalipia muda wa Ewani, alafu kufunguliwa inachukua masaa Kufunguka!

Kuweni kama startimes waho haipiti hata dk 5 wameshakufungulia ukilipia.

Mnatia haibu sana. Yaani wachina wanatushinda kwa kutoa huduma Bora?
 
Back
Top Bottom