sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Ving'amuzi vya Continental ovyo kabisa. Nimetupa hela yangu bure. Picha za channel mbaya, kinakatakata mawasiliano, kina siku tatu tu ila kinaniboa sana. Jana masaa kadhaa mawasiliano hayakuwepo na channel ya TBC ilikuwa inaonesha kama deamlight, na leo tangu asubuhi hadi saa hizi hakuna signal. Kumbe ndo maana wakaweka USB port wanajua matatizo yake ili signal ikikosekana uweke. Continental ovyo huku Arusha tena mjini kabisa! Wahusika nipeni instruction namna ya kutibu hayo matatizo.