No way, huwa wanachaguliwa na wachache, na alishasema hata tusipowachagua wao ndio watatangazwa washindi, dawa ni kuhamia Burundi tu.Hadi Kodi ya mbususu itakuja very soon.
Wacha watukamue 2025 watu watumie akili kuchagua mbivu na mbichi.
Hapendwi Mtu Hapa Inapendwa PesaWapandishe tu mpaka mawinguni
Mkuu kama upo dar tuwasiliane nikupe elaNatamani nikakipasue kile kin'gamuzi cha Azam nilichonacho huu ni ufala
Jamani hata zamani kulikuwa na kodi za TV hivyo mkoloni anaeudi kinyume nyume.