Vinegaaaass ILI FUNIKAAAA ile mbaayaaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vinegaaaass ILI FUNIKAAAA ile mbaayaaa!

Discussion in 'Entertainment' started by MUREFU, Nov 27, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Usipime vinega jana walitisha aliekuwepo mwingne nae aseme SUGU noma
   
 2. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,971
  Likes Received: 20,320
  Trophy Points: 280
  Nilitegemea kwa kuwepo kwako ungeweza kuandika zaidi ya hiki ulichoandika ili ambao tuko mbali na DSM tupate ukweli wa namna hali ilivyokuwa (binafsi nawasupport VINEGA na A-V lao), nangoja kusikia zaidi na hata kupata picha ya namna hali ilivyokuwa
   
 3. u

  utantambua JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sio tetesi: ni kweli vinega walifunika
   
 4. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,971
  Likes Received: 20,320
  Trophy Points: 280
  Hakuna anayesema hii kuwa ni tetesi, hoja hapa ni kwa faida ya ambao hawakuweza kuhudhuria na wanapenda kuona msanii wa kitanzania anafaidika na jasho lake na hanyonywi kama ilivyo sasa, nadhani ungeweza kuweka picha na kueleza ni wasanii gani wengine waliopanda jukwaani
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  News + Photo = :poa
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  =impression
   
 7. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  vinega mikoani hawaji?? Tunawasubiri chuga town tuscan ma virus kisha tuwadelete
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Akina Tomaso wanasubiri pictures
   
 9. M

  MabaoFungaFunga Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baadhi. Ya wadau waliotinga ktk show
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kumbe man upo chuga.....niajee.....

   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Reference ni nini? Kumbukeni darasani huwa tunafundishwa na mwalimu mmoja lakini anapatikana wa kwanza hadi wa mwisho kwenye somo husika. Hivyo wewe kuona imefunika au la, inategemea wewe wa viwango gani
   
 12. M

  MabaoFungaFunga Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu walijitokeza kwa wingi,stage nzuri na performance ya kufa mtu,
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Kuna magonjwa mengine tiba yake ni kuuliwa tu.
   
 14. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,722
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  nawe upo ara chuga? Inakuwaje man? Niambie arifu wangu, whooi! Haina kwikwi mnama.
   
 15. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Eeh arifu niko chuga town mzuka mwingi??? Tunawasubiri vinega tuenzi hip hop, hoping ntakuona siku hiyo
   
 16. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 280
  Ama kweli.
  Hata picha imekuwa ngumu...!!?
   
 17. u

  utantambua JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unabisha nini? Post hii imewekwa kwenye kundi la tetesi tizama vizuri utaona, na ndio maana mimi nikasema sio tetesi bali ni kweli walifunika. Binafsi wakati naingia nilikuta Sugu ndio anakamua. kila baada ya nyimbo kadhaa alikua akiwatambulisha kwa audience baadhi ya waheshimiwa wabunge wa chadema waliojitokeza kumpa shavu usiku huo. baadhi yao ni Kiwia wa nyamagana huyu alishangiliwa sana alipotambuliswa. then alitambulishwa mnyika naye alishangiliwa sana. funga kazi ni pale saa za majeruhi sugu alipompandisha mbowe ambae aliomba wanausalama wakubali kuongeza dakika kidogo ili sugu aendelee kukata kiu ya mashabiki kwani muda wa tamasha ulikuwa umekwisha kwisha kwa mujubu wa kibali. sugu Alikamua nyimbo kibao tu za long time zilizobamba. then walifuata vinega mapacha na punch za kutosha dhidi ya gelard hando wa wafu fm. sugu baadae alimpandisha hammie b wa times fm na kumshukuru kwa sapoti yake kubwa. Kisha akapanda Suma G na hit toka Anti virus vol 2 sijui inaitwaje but ina beat ya nyimbo ya nas iitwayo nas is like. Kisha akamalizia D wa geto na freestyle moja la kufa mtu. Hilo freestyle mpango debe kwa punch line za ukweli. jambo la kufuruhisha usalama ulikuwa mkubwa hakukuwa na fujo hata chembe na watu walikua wastaarabu kinoma. wazungu kadhaa walikuwapo na baadhi walipanda jukwaani kuboogie na sugu baada ya mzuka kukolea.
   
 18. m

  massai JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sugu ni kwere jamani,aibu yao cloud.
   
 19. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  Vinega ndo nini?ile yenye radha kama limao au?
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Chuga kwetu hata huwezi thubutu mbele ya watu kutamka nineno zito mbaya ulizia wakupe tafsili!
   
Loading...