Vinegaaaass ILI FUNIKAAAA ile mbaayaaa!

Vinegaaaass ILI FUNIKAAAA ile mbaayaaa!

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
353
Usipime vinega jana walitisha aliekuwepo mwingne nae aseme SUGU noma
 
Nilitegemea kwa kuwepo kwako ungeweza kuandika zaidi ya hiki ulichoandika ili ambao tuko mbali na DSM tupate ukweli wa namna hali ilivyokuwa (binafsi nawasupport VINEGA na A-V lao), nangoja kusikia zaidi na hata kupata picha ya namna hali ilivyokuwa
 
Sio tetesi: ni kweli vinega walifunika
Hakuna anayesema hii kuwa ni tetesi, hoja hapa ni kwa faida ya ambao hawakuweza kuhudhuria na wanapenda kuona msanii wa kitanzania anafaidika na jasho lake na hanyonywi kama ilivyo sasa, nadhani ungeweza kuweka picha na kueleza ni wasanii gani wengine waliopanda jukwaani
 
vinega mikoani hawaji?? Tunawasubiri chuga town tuscan ma virus kisha tuwadelete
 
Sio tetesi: ni kweli vinega walifunika
Reference ni nini? Kumbukeni darasani huwa tunafundishwa na mwalimu mmoja lakini anapatikana wa kwanza hadi wa mwisho kwenye somo husika. Hivyo wewe kuona imefunika au la, inategemea wewe wa viwango gani
 
Kuna magonjwa mengine tiba yake ni kuuliwa tu.
 
Hakuna anayesema hii kuwa ni tetesi, hoja hapa ni kwa faida ya ambao hawakuweza kuhudhuria na wanapenda kuona msanii wa kitanzania anafaidika na jasho lake na hanyonywi kama ilivyo sasa, nadhani ungeweza kuweka picha na kueleza ni wasanii gani wengine waliopanda jukwaani

Unabisha nini? Post hii imewekwa kwenye kundi la tetesi tizama vizuri utaona, na ndio maana mimi nikasema sio tetesi bali ni kweli walifunika. Binafsi wakati naingia nilikuta Sugu ndio anakamua. kila baada ya nyimbo kadhaa alikua akiwatambulisha kwa audience baadhi ya waheshimiwa wabunge wa chadema waliojitokeza kumpa shavu usiku huo. baadhi yao ni Kiwia wa nyamagana huyu alishangiliwa sana alipotambuliswa. then alitambulishwa mnyika naye alishangiliwa sana. funga kazi ni pale saa za majeruhi sugu alipompandisha mbowe ambae aliomba wanausalama wakubali kuongeza dakika kidogo ili sugu aendelee kukata kiu ya mashabiki kwani muda wa tamasha ulikuwa umekwisha kwisha kwa mujubu wa kibali. sugu Alikamua nyimbo kibao tu za long time zilizobamba. then walifuata vinega mapacha na punch za kutosha dhidi ya gelard hando wa wafu fm. sugu baadae alimpandisha hammie b wa times fm na kumshukuru kwa sapoti yake kubwa. Kisha akapanda Suma G na hit toka Anti virus vol 2 sijui inaitwaje but ina beat ya nyimbo ya nas iitwayo nas is like. Kisha akamalizia D wa geto na freestyle moja la kufa mtu. Hilo freestyle mpango debe kwa punch line za ukweli. jambo la kufuruhisha usalama ulikuwa mkubwa hakukuwa na fujo hata chembe na watu walikua wastaarabu kinoma. wazungu kadhaa walikuwapo na baadhi walipanda jukwaani kuboogie na sugu baada ya mzuka kukolea.
 
  • Thanks
Reactions: Obe

Similar Discussions

Back
Top Bottom