Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Dec 13, 2011 #21 MTM said: mbona mbamshambulia... kwani misosi sio mambo ya jamii? au ngwini nini? Click to expand... Utakuwa uliishia Mlimani primary, unaandika ooovyo kwa msomi wa UDSM.
MTM said: mbona mbamshambulia... kwani misosi sio mambo ya jamii? au ngwini nini? Click to expand... Utakuwa uliishia Mlimani primary, unaandika ooovyo kwa msomi wa UDSM.
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Dec 13, 2011 #22 Raia Fulani said: na sio bwashehe, ni bwashee. Jamaa yupo sana. Ana uwezo wa kuweka plate tano zenye msosi mkononi bila kudondoka Click to expand... Mwanzo wa sentensi anza na herufi kubwa, jina la mtu anza na herufi kubwa. Pia mwisho wa sentensi weka kituo.
Raia Fulani said: na sio bwashehe, ni bwashee. Jamaa yupo sana. Ana uwezo wa kuweka plate tano zenye msosi mkononi bila kudondoka Click to expand... Mwanzo wa sentensi anza na herufi kubwa, jina la mtu anza na herufi kubwa. Pia mwisho wa sentensi weka kituo.
P paradela New Member Joined Nov 28, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Dec 14, 2011 #23 hii na mimi naikumbuka.