hawa wamevaa bomba tu....tatizo hivyo vishanga vya mguuni....niliwai sikia ufaransa ukivaa hvyo unamaanisha wewe ni msagaji...but sijaifanyia utafiti sana...kama kuna mtu anazodata kamili anipe...........
Mnhhhhhhhh....................inamaanisha pia yuko tayari mbele na nyuma!!
wengi wa wabunge wa jinsi hiyo hawana mchango pale bungeni zaidi ya kwenda kujitangaza kibiashara.
Kama watu wapo kuzomea wenzao unategemea akili zao zinafikiria nini?
Kuna picha za hivyo vimini?
haya mavazi hayaendani na hadhi zao.lakini mavazi hayo wakivaa watoto wa form two tungeona kawaida.
Ndio Tabu ya kujaza watu na kuwalipa hela nyingi bila Chochote wanachochangia!! Fikiria Mtu Unapata over 12,000,000 Kwa mwezi na Huna chochote Cha maana unachofanya, Si utafikiria kuvaa Gold Hadi Kwenye Makalio, Achilia Mbali Miguuni!! Wingi wa Bure bila Manufaa!! Shame on this Country
Hivi Vicky Kamata ndo yupi hapa? Mi simjui kabisa