Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

Wabunge wote wanawake waanze kuvaa namna hii katika vikao vyote vya Bunge.
niqab-2.jpg

Mtoto wangu aliona sura ya hivyo inatokeza kwenye TV, alipiga kelele. laiti nisingekuwa karibu angeanguka na kuumia. Alimaliza siku tatu hataki kuangalia TV!
 
Je shanga za viunoni nazo kazuia? heeee Makubwa haya mtu asivae anavyojisikia kisa eti bunge loooo.

Huyo naye ana lake jambo, pengine alipigwa kibuti na mmoja wao akaona amwage hadharani.

Maana madada wa safari hii bungeni loooooooo weee acha tu, bongo kumekucha.

Maana akisimama mdada kutoa hoja, macho mwaaaaaaaaaaaaaaaaa

midomo zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

watoto wakali bwana, mmmmh waheshimiwa eeeh.

ama kweli 50 kwa 50 inaleta raha ya pekeeee.

kazi na dawa kwa kwenda mbele
 
amewatolea uvivu wabunge Wanawake huku akiwaasifu wanaume kwa kufuata kanuni ya mavazi na kuwasisitizia wa kike wataendelea kurudishwa mlangoni

safi sana hiyo maana huko tunapoelekea siko kabisa maana wanataka kuwa kama wanafunzi vile!:angry:
 
Back
Top Bottom