Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

Hivi hawa wabunge au wasagaji? Uvaaji huu hasa kuvaa vimikufuu hadi miguuni ni uhuni na uvaaji wa machangudoa. Ndo tatizo la viti vya upendeleo kwa wanawake kila mtu anaaingia bungeni wanaaishi kuchukua posho tu hakuna chochote wanacho changia .
Pumbavu zao wanakula ela zetu tu
Teh teh ndiyo tz yetu ala ala usijipe presha punguza jazba teh ulipiga kura? Lol
 
natoa pongezi nyingi kwa naibu spika kukemea vivazi vya ajabu ajabu bungeni. kinachoonekana kwenye bunge la sasa hivi lenye vijana wengi ni ubishoo wa kushindana nani kavaa nini nani kasuka vipi. kaaazi kwelikweli. wengi wamekaa kimtego mtego zaidi kuliko kufanya kazi zilizowapeleka. mhesh spika na naibu wako endeleeni kuwatimua hao mabishoo!
 
Shame on them..kama wanaenda show ya taarabu vile au miss zilipendwa...hapo kazini na kikuku je outing wanavaaje?
 
Wabunge wote wanawake waanze kuvaa namna hii katika vikao vyote vya Bunge.
niqab-2.jpg


Una utani na watu wewe...mimi yangu macho...
 
amewatolea uvivu wabunge Wanawake huku akiwaasifu wanaume kwa kufuata kanuni ya mavazi na kuwasisitizia wa kike wataendelea kurudishwa mlangoni
Yeye anataka wavaaje wakati walipata nafasi hizo kwa kuwavalia mipasuo ma-boss wao, walipotamani mapaja ndipo wakaona ni bora wawasogeze bungeni ili wawe wanakula ki-urahisi. Amimi usiamini lakini utaelewa tu mantiki ya vimini hivyo.
 
Mfumo dume tu. Mimi hao wadada si type yangu ila huyo sijuhi Ndugai amewaonea na kuwadhalilisha. Wamevaa mini gani? SHame on him! AU anawataka kijanja? They are young let them reveal the beuty of their body. Otherwise watafute majoho wabunge wote wapewe waingiapo mlangoni kama anavyovaa spika. Sipendi kabisa watu wanaokalia ku coment mavazi ya wanawake. Hiyo ni njia ya kudhalilishana, kuua confidence za watu. Mbona Mkono anavaa kikofia chekundu always hamna anaemsema. Let the ladies "be"
 
attachment.php


Sioni tatizo lolote na mavazi haya kutinga nayo bungeni
 
Kikuku ni urembo tu. Mimi binafsi na wanawake wengi tunakipenda sana hasa kama una mguu mzuri. Ila mume wangu amenikataza nisivae kwani nae ana tafsiri kama zenu. Kwa hiyo sivai ila nakipenda sana, naona kama bangili tu mkononi. Na nina imani wanawake asilimia kubwa wanavaa kwa kuwa wanapendeza na kina sie hatuvai kwa kuwa ndo hivyo tumekatazwa na wame zetu. Ningekuwa single ningevaa na atakaye sema aseme ila sivyo mnavyofikiri nyie.

attachment.php



haya mavazi hayaendani na hadhi zao.lakini mavazi hayo wakivaa watoto wa form two tungeona kawaida.
 
Huyo jamaa ni mnafiki, kwani alipoviona vimini aliwarudisha au tu amekuwa joka la Kibisa?!
 
amewatolea uvivu wabunge Wanawake huku akiwaasifu wanaume kwa kufuata kanuni ya mavazi na kuwasisitizia wa kike wataendelea kurudishwa mlangoni

aisee nao wamezidi. Hao wabunge wanawake na vikuku utafikiri ndio wameambiwa sare ya bunge. Khaaaa!
 
Issue ndogo sana hii haiharibu uchumi wa nchi, naibu spika aongee mambo ya manufaa kwa nchi, hao wanawake wanawaume zao na wamewaruhusu kuvaa hivyo,tena wanapendeza.
 
attachment.php



haya mavazi hayaendani na hadhi zao.lakini mavazi hayo wakivaa watoto wa form two tungeona kawaida.

Hadhi zao ni zipi? Kwani hadhi ipo kwenye mavazi au ni state of mind? Status is state of mind (in the head) and it is not material or otherwise....these ladies status zao ni mavazi na mikufu ya grammes kubwakubwa....na sio kwenda kuchangia miswada na mijadala mbalimbali ambayo mwisho wake ni kumnufaisha mwananchi wa kawaida.........kwanza wao hawawakilishi jimbo lolote bali wanawakilisha viti na (watu) maalum....na ndio maana wanaweza kuafford kununua vikuku vya miguuni na shanga za dhahabu za kiunoni ili kuwafurahisha watu maalum....f*** them
 
Back
Top Bottom