Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

superfisadi

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2009
Posts
553
Reaction score
54
amewatolea uvivu wabunge Wanawake huku akiwaasifu wanaume kwa kufuata kanuni ya mavazi na kuwasisitizia wa kike wataendelea kurudishwa mlangoni
 
hana jipya, watua wanakuf a njaa hospitali hakuna madawa barabara zinajengwa feki kama ya kilwa road yeye anabakia kupigia vimini makelele? wtf
 
Ndugai bwana...haya wamekusikia........
 
Eti hihi vidude vya miguuni vinaashiria nini??

View attachment 27157

Hawa wamevaa bomba tu....tatizo hivyo vishanga vya mguuni....niliwai sikia ufaransa ukivaa hvyo unamaanisha wewe ni msagaji...but sijaifanyia utafiti sana...kama kuna mtu anazodata kamili anipe...........
 
Wabunge wote wanawake waanze kuvaa namna hii katika vikao vyote vya Bunge.
niqab-2.jpg
 
Yaani mavazi haya hayaruhusiwi bungeni!!! Basi labda waanze kuvaa Burka na niqab. Na vikuku si ajabu vitapigwa marufuku bungeni!

mwishoni watasema lazima mtu avae chupi ya aina fulani ndio ataruhusiwa, huyu mama ana wivu tu, si ana hela ? aende akafanye plastic surgery huko
 
mwishoni watasema lazima mtu avae chupi ya aina fulani ndio ataruhusiwa, huyu mama ana wivu tu, si ana hela ? aende akafanye plastic surgery huko
He! Yamekuwa hayo tena...
 
anasema zisizohitajika ni zile zinazoonyesha body structure nadhani zinaamsha mihemko
 
Hivi hawa wabunge au wasagaji? Uvaaji huu hasa kuvaa vimikufuu hadi miguuni ni uhuni na uvaaji wa machangudoa. Ndo tatizo la viti vya upendeleo kwa wanawake kila mtu anaaingia bungeni wanaaishi kuchukua posho tu hakuna chochote wanacho changia .
Pumbavu zao wanakula ela zetu tu
 
Back
Top Bottom