Tamu sana hii kitu
Inapatikanaje mkuuAfya tupu ukipata ambayo sio ya kichina
Mimi niko Dar, inakuwajeLushotoooo
Kwani ina mpango ewa kuja hiku Dar hivi karibuni mkuu?Duuu na mimi kwasasa sipo Lushoto
Ni nini hii?
Kesho nina safari ya Lushoto..inapatikana wapi niwaleteeDuuu na mimi kwasasa sipo Lushoto
Ni Lushoto au Ushotoo?Lushoto mjini pale sokoni siku ya alhamisi asubuhi
Hii makitu, we acha kabisa ni raha na vitamu sana!!
Ni ndizi zilizo iva. Zinatwangwa kwenye kinu na kuchemshwa taratiiibu. Kisha unafunga kwenye majani ya mgomba tayari kwa kula au kuuza.Mshana - vina pikwa au ina vitu gani ndani ? sijawahi kusikia au kuona vitu hivi