Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,194 Reaction score 829,151 Apr 30, 2016 Thread starter #21 Percival said: Mshana - vina pikwa au ina vitu gani ndani ? sijawahi kusikia au kuona vitu hivi Click to expand... Dona na ndizi mbivu vinapondwa pamoja kisha vinafungwa kwenye majani ya mgomba halafu vinachemshwa
Percival said: Mshana - vina pikwa au ina vitu gani ndani ? sijawahi kusikia au kuona vitu hivi Click to expand... Dona na ndizi mbivu vinapondwa pamoja kisha vinafungwa kwenye majani ya mgomba halafu vinachemshwa
Ibrahimu Riyad Member Joined Apr 15, 2016 Posts 16 Reaction score 5 May 1, 2016 #22 vinaitwa vimanda watu bhana