Village in Afghanistan . Can you believe it? Very interesting.

duh sasa hao wana tofauti gani na nyoka au wadudu waishio mapangoni hata hivyo umasikini humfanya binaadamu kuwa mbunifu sana thans mzizi.
 
duuuh zamani nilikuwa nadhanishia ngozi nyeupe ni full vicheko duniani humu... kweli kua uyaone kumbe kuna ngozi nyeupe zinataabika vibaya mno jamani!
 
Haya mahandaki yalimpa taabu sana Mmarekani wakati akimtafuta Laden,
Hata satellite haimuliki ndani hapa Torabora
 
Hawa ni watu wenye akili, wanatumia mazingira yao kuboresha maisha. Usilinganishe na sisi .Angalia ndani palipo pasafi. Hizi nyumba hali joto ndani kuwa ya wastani na nzuri , wakati wa joto nje ndani ni baridi na wakati wa baridi kali nje ndani fuguto. Ni watu wachapa kazi sana na hamna kitu kwao hakiwezekani
 
Last edited by a moderator:
Hapa sewage yake itakuaje? mana naona hakuna hata nyaya wala panel umeme (power source) then maji safi yanafikaje huko kwenye vilele vya milima kwa ajili ya usafi! duh!
 
Back
Top Bottom