jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,423
- 11,378
Wengine tumechoshwa na ..
- Foleni barabarani, hili ni moja ya majanga ya taifa, pamoja na
- UZEMBE WA DAWASCO
- UZEMBE TANESCO
- SUMATRA
- Customer Services kwenye mashirika na kwenye makampuni..
- CHADEMA kujizoretesha na maugomvi yasiyo na mwanzo wala mwisho (CCM itapeta tena kiulaini)..
- Kwetu CCM bado kuna uzembe, rushwa na kutokuwajibika...
- Kila kitu kumlalamikia JK, kwanini lawama karibu zote hawabebi walio chini yake?!
- Elimu duni bado kwa watoto wetu na vijana..
- Huduma za afya duni kabisa, ebu tugangamae 2014..
- Ustawi wa jamii uborereshwe kwa watoto wote, yatima na walio na wazazi, kwa kina mama na vikongwe..
- Ukosefu wa ajira na kuwasaidia wasio na ajira...
- Kutokua na msaada kabambe na wa ukweli kwenye ujasiriamala...
- ----