Vilivyo chosha kuvisikia 2013...

Vilivyo chosha kuvisikia 2013...

Nimechoka kusikia watu wakiwaponda watu waliofariki. Wameshatangulia, tuwatakie tu mapumziko mema na sisi tujiangalie mwisho wetu utakuwaje.
kama walifanya vibaya tuwaseme vibaya tu kama ccm na diwani wao wa huko mwanza
 
Nilichoshwa na wanyamwezi.roho mbaya.uchoyo na ubinafsi.
 
unyanyasaji wa wanawake
umasikini
rushwa
umeme kupanda bei
mgao wa umeme
kuvunjwa kwa baraza la a au b
 
Nimechoka kuona mijitu hiyohiyo MMU saa zote inachangia, ni wakati sasa wasepe na kuwaachia wengine jukwaa.
 
  1. Lukuvi..hili jina nimelichoka..duh natamani apewe ubalozi kama yule mama batilda buruhani..nilimchoka na wish yangu ikatimia
  2. muungano...nimeuchoka natamani uvunjike
  3. kanga moja..hili kundi natamani watiwe segerea wote..nimewachoka
  4. Malawi..nimewachoka na mgogoro wa kung'ang'ania ziwa..bora tupigane vita lijulukane moja.
  5. Jukwaa la siasa JF..nimelichoka...limevamiwa na washabiki wa watu binafsi wanaolipwa kushinda mtandaoni kuzusha na kutukana..limeshusha hadhi ya JF ..bora lifungwe mwaka 2014 na lianzishwe JUKWAA LA MASHAURI YA KIUCHUMI ili tuishauri serikali mambo muhimu ya kiuchumi kuliko ushabiki wa kitoto

ni hayo kwa sasa

serikali yako haishauriki zimedanyika research nyingi za kuongeza pato la serikali lakini hazijafuatwa,na pia serikali imepewa recomendation nyingi tu lakini zote wamezifungia kwenye draw so expect nothing new mwaka huu!
 
nimewachoka wote mnaokoment unazi kwenye thread za watu ...nikiwemo mimi nimejichoka pia ......
 
nimechoka kuona threads ndefuuu km novel za JEFFERY ARCHER...maana zinanitia uvivu naonaga km siasa tu
nimechoka kuitwa mkuu wakati mimi dogo
nimechoka kumuangalia wema my shoes na lady jaydee show maana wanaonyesha undava tuu hawaelimishi wala kuniburudisha hata kidogo
nimechoka kutembea kwA MGUU daily lazma ninunue hata boxer mwaka huu japo imepungua sh3500 nijazieni wakuu km na nyie mmenchoka
nimechoka kuitwa baby na mpenz wakat nina mindevu
SIJACHOKA KULA
 
Vitu gani vilikuchosha mno kuvisikia na
unatamani usivisikie tena mwaka 2014
upate tu break ya kuvisikia?



7.Bongo movie...hivi lini tutasikia movie ya ukweli?
yenye actors wa nje na ndani ikibidi?

though iam late, but namba saba imenigusa haswaaa!!

naona kama kuna kujuana sana ndani ya bongo movie! hakuna talent searches za ukweli kama wafanyavyo wenzetu walioendelea!!

yeyote tu anayejisikia ili mradi tu anavimilioni sita vyake (ofcoz hii ni bajeti ambayo mara kwa mara wana bongo movie huitumia kuzalishia filamu zao!) basi anafanya shooting na watu wake from nowhere!!

wanabongo movie hawana creativity - mambo mapya katika tasnia hayaonekani, kila siku wanategemea tu kupeleka unga macao na wanaishia tu kukamatwa na kuidhalilisha nchi!!!

ifikie wakati serikali yetu iwekeze sehemu kama hii ili vijana nao waweze kuajiriwa katika industry ya bongo movie!

mbona nigeria wameweza!! sisi tuna nini??
 
Nimechoshwa na habari za ndege kuzuiwa South...outdated news
 
Back
Top Bottom