The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,653
Vitu gani vilikuchosha mno kuvisikia na
unatamani usivisikie tena mwaka 2014
upate tu break ya kuvisikia?
mimi najaribu orodhesha binafsi ambavyo natamani
nisivisikie.....kabisa ikiwezekana..
1. Mwigulu Nchemba hili jina limenichosha kabisa kulisikia
kama akiteuliwa ubalozi hivi huko New Zealand hivi itakuwa safi kwa kweli..
2.Mgogoro wa CHADEMA na Zitto ..natamani uishe
kwa uamuzi wowote hilo tujadili mengine
3. Mpira wa fitina ..mara Rage sijui nini,mara ukabila TFF
wakati wenzetu mwaka huu wako Brazil kwenye World Cup..
4.Threads za punyeto JF....dah kwa kweli hili limetosha now
tusha jadili na kushauri,mwingine mwenye tatizo ajaribu tu ku search..
5.Wema Sepetu....its time huyu aolewe na azae watoto sasa
aanze kuishi her age ...sio katoto tena..
6.Diamond.. natamani nisikie nyimbo zake tu..
mengine ikibidi nisisikie...yamenichosha masikio..enough sasa
7.Bongo movie...hivi lini tutasikia movie ya ukweli?
yenye actors wa nje na ndani ikibidi?
mengine ongezeeni....
snowhite King'asti Ennie Kaunga EMT Dark City Kasinde Heaven on Earth Mtambuzi platozoom Power to the People Jawilat Fixed Point Kongosho Broken soul gilgal

Last edited by a moderator: